Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shida siyo kudaiwa tu, shida ni unadaiwa na nani? Mimi roho yangu ni ndogo sana Hata nikidaiwa 50,000 tu siwezi kulala usingizi mpaka nilipe Nakosa amani kabisa Twende kwenye mada Madeni...
23 Reactions
338 Replies
4K Views
Ebu acheni Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia. Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia...
12 Reactions
31 Replies
540 Views
Wakuu nimeona hiki kitu hotelini ndani ya chumba!! Niambieni n nni Afu kina waka waka taa baadhi ya muda kama camera
0 Reactions
10 Replies
272 Views
LEO KWA KIPEKEE NIWASHUKURU NYOTE MNAONISAPOTI. KUMTUMIA PESA MTU AMBAYE HUJAKUTANA NAYE NAYO NI KIPAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nitakuwa sijafanya jambo sahihi. Tangu nimeanza...
13 Reactions
55 Replies
672 Views
Wakati sisi Afrika tunaendelea kuwa na maraisi wanazeeka wakiwa madarakani ila wenzetu wanavitu ambavyo mpaka sasa sijui wanaficha nini. Graphics card kwa utambuzi rahisi unaweza kusema ni kwa...
0 Reactions
3 Replies
110 Views
Mimi sijali kuhusu hio process inayofanyika bali hio tatoo ni ya kiduanzi sana, kama artist alikuwa hajalewa basi alikuwa learner.😁
2 Reactions
9 Replies
165 Views
Hello JF.. Mimi naamini Chadema ina struggle financially, hata kama hatutaki kudiscuss hili,bado haiondoi ukweli kuwa kuna tatizo mahali... Ku fight na ma giants kama CCM ambako matajiri...
3 Reactions
1 Replies
77 Views
Waliwabaka kila mara, kuwauza mabinti zao kama watumwa wa kingono kwenye iliokuwa chini yao. Ila kuna watu wa JF watakuja kuwakingia kifua sababu tu wana share nao itikadi moja. UTU na UBINADAMU...
3 Reactions
6 Replies
180 Views
Mwaka 1992 nikiwa nasoma mafundisho ya kipaimara, siku moja tulikuwa darasani Sister anafundisha. Katika kuzunguka darasani akamkuta mwanafunzi mmoja ana hirizi yake shingoni, sister akalipuka kwa...
9 Reactions
27 Replies
634 Views
8/8/2026 utafanyika uzinduzi mkubwa sana wa kampeni ya OPOWAZ hii ni kampeni rasmi ya kuwaondoa wazanzibari Tanganyika na watanganyika warudi nyumbani kila mmoja akae kwake ajenge nchi yake hivyo...
0 Reactions
9 Replies
208 Views
God forbid. Imagine mtu kafanya kazi miaka kibao kwa jasho na damu na kuwa na malengo kadha wa kadha ya kuboresha maisha yake zaidi mara baada ya kustaafu. Kwa kujenga nyumba ya ndoto yake au...
4 Reactions
2 Replies
75 Views
Wanafunzi wa shule ya sheria kwa vitendo kwa Cohort ya 40 &42 wamejikuta katika TAHARUK mara baada ya kukutana na Taarifa katika akaunti zao za chuoni hapo (Lawsaris) ambazo zinatumika pia kupata...
4 Reactions
3 Replies
157 Views
Za jioni wadau... Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now. Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu...
7 Reactions
123 Replies
1K Views
TAARIFA YA KURUDIWA KWA WRITTEN PRACTICAL ASSESSMENT (WPA) ILIYOFANYWA NA KUNDI LA 42 NA KUNDI LA 40 WALIOFANYA MARUDIO (SUPPLIMENTARY) TAREHE 18-26 JUNI, 2026 Taarifa inatolewa kwa wanafunzi wa...
1 Reactions
3 Replies
180 Views
Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni...
9 Reactions
85 Replies
1K Views
Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu...
2 Reactions
3 Replies
172 Views
Wananchi tunahoji kwanini namba za NIDA hazijatoka zaidi ya miezi miwili toka zoezi la usajili wa namba za NIDA kufanyika katika kata za jiji la Arusha. Wengi wao wenye uhitaji wa namba za nida...
1 Reactions
3 Replies
102 Views
Anonymous
Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna. Pia kama una hela kuazia jero...
2 Reactions
0 Replies
114 Views
Anonymous
Mfamasia wa SONGWE DC, anahusishwa na kupokea rushwa za wamiliki wa maduka ya dawa, anatoa vibali kiholela kiasi kwamba population ndogo unakuta maduka zaidi ya manne na mengine hayana usajili...
1 Reactions
4 Replies
143 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…