Mawakala wa Call Centre za mitandao ya simu ni wanyonyaji

Mawakala wa Call Centre za mitandao ya simu ni wanyonyaji

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,875
Reaction score
8,290
kumekuwepo na mtindo wa haya makampuni kuwapa makampuni mengine yanaitwa outsource company kazi ya kuwatafutia wafanyakazi wa call centre.

Awali yalipigwa marufuku lakini nayaona yanastawi kwa wingi yakiwanyonya watanzania kwani wao kama mawakala wa kazi ,mshahara wa kulipwa laki 8 wao wanalipa laki 4 baadhi ya vitengo especial kwa call centre (huduma kwa wateja)

Sasa hoja yangu unakuta outsource fulani inasimamia voda na airtel , kwa kawaida hawa ni washindani kibiashara na wanaweza kuhujumiana kibiashara endapo kuna mtu anajua siri za kampuni zote mbili

Mara nyingi outsource wanamanage wateja wa kampuni husika pamoja na kutumia system na kuzijua product za kampuni husika,PIA HAPA SERIKALI INAKOSA MAPATO SANA
 
Back
Top Bottom