Walioacha pombe waje watueleze wameachaje

Walioacha pombe waje watueleze wameachaje

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Ni rahisi kuacha wanawake/umalaya kuliko kuacha pombe! Pombe ukishainywa ni kama ina mashetani.

Pombe inatenganisha familia.Pombe hasara tupu.

Kuacha pombe ni uhodari mkubwa sana.

Waliocha pombe waje hapa watueleze wameachaje
 
Walizaliwa wanakunywa? Wanaacha pombe wakiwa kwènnye dozi tu.
 
Hili ni janga la taifa kwa waliokuwa adicted wanafanana sawa sawa na watumia unga. Nasikia kuna baadhi ya wataalamu wa kienyeji huko Tanga wana dawa ambayo ukinywa unaacha kabisa
 
Hahah unahitaji kufahamu kwanini waliacha?! Hahaha hawajaacha wamepunguza au wamepumzika kuangalia hali ya uchumi.
Hata wewe ukiishiwa utaacha tu, hakuna pombe ya bure.
 
Hakuna anayeacha pombe bila kuwa na tatizo..Kama unakunywa bia zako za wastani, hupigi raundi basi wewe ni mnywaji wa kawaida! Wanaoacha pombe ni walevi na wanaacha baada ya kukwaa matatizo kama kuliwa tigo baada ya kulewa kupindukia, kujinyea hadharani, kufilisika kwa kutafuta sifa za round, kuangukia kwenye VVU kwa kutokana na kutokujitambua kilevi, kubaka ndugu kutokana na kutokujitambua kilevi, matatizo ya kiafya kutokana na ulevi! Hao ndo wanaacha pombe!
 
Kuacha pombe ni maamuzi magumu sana. Nadhani ipo namna sahihi ya kutumia pombe kama ikizingatiwa pombe haiwezi kuwa kikwazo ktk maisha yetu. wanaojua namna ya kutumia waje tafadhali!
 
Nimeacha tangia utawala wa awamu hii ya tano, hela "imenikoswa"
 
Pombe ni tabia ya kuhisi kiu na kuvutiwa radha ya kilevi mwisho kulewa baada ya kunywa saana!!
Kubobea au kulowea kwenye ulevi!
Hiyo tamaa ya pombe na vitu vingine inamalizwa na Bwn Yesu, mpe maisha yako ulishike neno lake utaacha matendo yote mabaya ktk maisha yako!!
Bwn akufungue ufahamu ili upone tamaa mbaya za kiu ya ulevi!!
Ubarikiwe!!
 
Ni rahisi kuacha wanawake/umalaya kuliko kuacha pombe! Pombe ukishainywa ni kama ina mashetani.

Pombe inatenganisha familia.Pombe hasara tupu.

Kuacha pombe ni uhodari mkubwa sana.

Waliocha pombe waje hapa watueleze wameachaje
huelewi unachokiongea....
pombe inaunganisha watu....
ni wajinga wachache wasiojielewa ndio hugombana na familia zao...but ushirikiano michongo na deals zote huanzia kwenye pombe.... unless uniambie ww ni mtumishi wa umma unaekunywa soda...
 
Wewe kunywa halafu kaangushe gari Buguruni mbona ukifika muhimbil ukioigwa bomba itatoka ndoo ya shah*wa,utaacha siki hiyo hiyo.
 
Nilijaribu kuacha nikawa sina pesa ikabidi tu nirudi coz kampani yangu ya madili ya town nilikuwa mbali na Mimi!

Kunywa bia upate akili!
 
Hakuna anayeacha pombe bila kuwa na tatizo..Kama unakunywa bia zako za wastani, hupigi raundi basi wewe ni mnywaji wa kawaida! Wanaoacha pombe ni walevi na wanaacha baada ya kukwaa matatizo kama kuliwa tigo baada ya kulewa kupindukia, kujinyea hadharani, kufilisika kwa kutafuta sifa za round, kuangukia kwenye VVU kwa kutokana na kutokujitambua kilevi, kubaka ndugu kutokana na kutokujitambua kilevi, matatizo ya kiafya kutokana na ulevi! Hao ndo wanaacha pombe!
Teh teh teh
 
Back
Top Bottom