Ushindi wa upendeleo huwezi kufurahia

Ushindi wa upendeleo huwezi kufurahia

Wilson Leguna

Senior Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
104
Reaction score
92
Niliwahi kupendelewa na mwl wangu wa somo la sayansi darasa la 6 mwaka 1978, alifanya hivyo ili mm kama mtt wa mwalimu nishike namba 1 darasani...ni kweli nilikua wa 1, nilikua mzuri sana ktk masomo yote lkn mshindani wa wa karibu tulikua tunapokezana namba 1 nae alikua mzuri pia.

Nilipewa zawadi na kupigiwa makofi mbele ya shule nzima...ukweli sikufurahia kama nilivyokua nafurahia mihula mingine nikiwa wa kwanza....ninachotaka kusema ni kwamba...ushindi wowote mtu anaoupata kwa kubebwa hauna furaha kama ambavyo angefurahia kwa kutumia jasho lake...au kwa upendo wa uhalisia...

Waheshimiwa wote wanaotoka upinzani na 'kupewa' jimbo lile lile na chama tawala...hawana furaha moyoni ya kazi hiyo kwa kua hawakupata kiuhalali, kuanzia kura za maoni ndani ya chama hadi kura za wananchi ktk chaguzi za marudio...pia wanajitengenezea uadui ndani ya chama na kwa wananchi ambao atawaongoza...hawezi kuitisha kikao cchte kikawa na muitikio wa wajumbe kwa hiari yao ila kwa kulazimishwa...hawezi kutembea kifua mbele kua anapendwa na wananchi kwa kua hapendwi...pia hata waliolazimisha awepo madarakani, hawawezi kufurahia toka moyoni kwa 'ushindi' kwa kua wanajua wameupataje...

Mwisho ni vizuri watawala wakawapa wananchi kile wanachokitaka..co wanachokitaka wao watawala... Japo ni ngumu kuachia madaraka, lkn wajue hakuna aliezaliwa kuwa mtawala...ni uchu wa madaraka...

Tanzania inahitaji tume huru ya uchaguzi..pia watawala wachuje maneno ya kuongea....wamepewa dhamana ya kuongoza kwa miaka 5, wakumbuke pia wanaowateua ni waajiriwa wa serikali kwa muda wote...hawapaswi kupangiwa namna ya kuongoza au kupewa vitisho vya kufukuzwa kazi kwa kutokipendelea chama tawala....napenda kuwasilisha hoja...
 
Niliwahi kupendelewa na mwl wangu wa somo la sayansi darasa la 6 mwaka 1978, alifanya hivyo ili mm kama mtt wa mwalimu nishike namba 1 darasani...ni kweli nilikua wa 1, nilikua mzuri sana ktk masomo yote lkn mshindani wa wa karibu tulikua tunapekezana namba 1 nae alikua mzuri pia. Nilipewa zawadi na kupigiwa makofi mbele ya shule nzima...ukweli sikufurahia kama nilivyokua nafurahia mihula mingine nikiwa wa kwanza....ninachotaka kusema ni kwamba...ushindi wowote mtu anaoupata kwa kubebwa hauna furaha kama ambavyo angefurahia kwa kutumia jasho lake...au kwa upendo wa uhalisia...Waheshimiwa wote wanaotoka upinzani na 'kupewa' jimbo lile lile na chama tawala...hawana furaha moyoni ya kazi hiyo kwa kua hawakupata kiuhalali, kuanzia kura za maoni ndani ya chama hadi kura za wananchi ktk chaguzi za marudio...pia wanajitengenezea uadui ndani ya chama na kwa wananchi ambao atawaongoza...hawezi kuitisha kikao cchte kikawa na muitikio wa wajumbe kws hiari yao ila kwa kulazimishwa...hawezi kutembea kifua mbele kua anapendwa na wananchi kwa kua haoendwi
Ni kweli mkuu
 
Niliwahi kupendelewa na mwl wangu wa somo la sayansi darasa la 6 mwaka 1978, alifanya hivyo ili mm kama mtt wa mwalimu nishike namba 1 darasani...ni kweli nilikua wa 1, nilikua mzuri sana ktk masomo yote lkn mshindani wa wa karibu tulikua tunapokezana namba 1 nae alikua mzuri pia. Nilipewa zawadi na kupigiwa makofi mbele ya shule nzima...ukweli sikufurahia kama nilivyokua nafurahia mihula mingine nikiwa wa kwanza....ninachotaka kusema ni kwamba...ushindi wowote mtu anaoupata kwa kubebwa hauna furaha kama ambavyo angefurahia kwa kutumia jasho lake...au kwa upendo wa uhalisia...Waheshimiwa wote wanaotoka upinzani na 'kupewa' jimbo lile lile na chama tawala...hawana furaha moyoni ya kazi hiyo kwa kua hawakupata kiuhalali, kuanzia kura za maoni ndani ya chama hadi kura za wananchi ktk chaguzi za marudio...pia wanajitengenezea uadui ndani ya chama na kwa wananchi ambao atawaongoza...hawezi kuitisha kikao cchte kikawa na muitikio wa wajumbe kwa hiari yao ila kwa kulazimishwa...hawezi kutembea kifua mbele kua anapendwa na wananchi kwa kua hapendwi...pia hata waliolazimisha awepo madarakani, hawawezi kufurahia toka moyoni kwa 'ushindi' kwa kua wanajua wameupataje...
Mwisho ni vizuri watawala wakawapa wananchi kile wanachokitaka..co wanachokitaka wao watawala... Japo ni ngumu kuachia madaraka, lkn wajue hakuna aliezaliwa kuwa mtawala...ni uchu wa madaraka...Tanzania inahitaji tume huru ya uchaguzi..pia watawala wachuje maneno ya kuongea....wamepewa dhamana ya kuongoza kwa miaka 5, wakumbuke pia wanaowateua ni waajiriwa wa serikali kwa muda wote...hawapaswi kupangiwa namna ya kuongoza au kupewa vitisho vya kufukuzwa kazi kwa kutokipendelea chama tawala....napenda kuwasilisha hoja...

Mkuu, hayo maneno yenye rangi nyekundu iliyokolezwa ni makosa uliyofanya kwenye bandiko lako. Hapo bado hujatenga aya na makosa mengine.

Hongera kwa kuwa wa kwanza katika wajinga.
 
Back
Top Bottom