Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hi wana jamii forums Niseme tu it's an honor kupata jukwaa kama hili la kushare life experience. Kipindi chote nasoma chuo,jijini dizim nilipanga toka niko first year kuwa nikimaliza tu,I will go...
48 Reactions
200 Replies
18K Views
Jeshi la Polisi Dar,limekiri kumshikilia mtangazaji wa SHILAWADU,Soud Brown kwa uharibifu wa Mali. Alionekana kwenye video akiwa na mwanamuziki mmoja wa kike wakirusha juu noti za Sh. 10,000 na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kitabu cha Malaki ni cha mwisho kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh, yaani Biblia ya Kiebrania. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mnaweza kutembelea hii mada hapo chini kama ilivyoweza kuletwa na mmoja wetu mwaka 2013...Nakumbuka ugomvi kati ya Wamiliki wa magari na JPM kipindi hicho akiwa Waziri wa ujenzi na ulikuwa mkubwa...
3 Reactions
78 Replies
15K Views
Wakuu,leo nmeenda home ,kwa wazaz kabsa...bi mkubwa kanipikia misos kanipakia kwenye hot pots nasepa navyo home hapa .hahahaha.. Juz nilikuja na uzi wa hal yangu mbaya ya ubachela jins inavyoni...
5 Reactions
82 Replies
7K Views
Basi la kampuni ya Simanjiro Express linalofanya safari zake kati ya Arusha kwenda Simanjiro limepata ajali ya kupinduka asubuhi ya leo katika maeneo ya kijiji cha Landanai. Kwa taarifa za awali...
2 Reactions
70 Replies
10K Views
CHIMBUKO LA MSEMO 'WITCH HUNT'! Kwenye simulizi pendwa, zilipendwa, za hadithi ya 'MASHIMO YA MFALME SULEIMAN' kuna 'character' mmoja mashuhuri sana naye si mwingine bali ni 'kibibi kizee...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Nianze kwa kusema pesa ni sabuni ya roho. Usipokuwa na pesa hata roho yako inakuwa chafu. Pia pesa ni jawabu la mambo mengi sana. Kamwe usidharau pesa wala kuibeza. Uzi huu inajikuta sana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Alianza Obama rais mstaafu waTaifa kubwa kabisa kiuchumi na kijeshi duniani na Picha tukaziona wakiwa chuo kikuu wakati penzi likiwa moto moto na mkewe japo hajawai kuwataja mademu wake wa...
1 Reactions
9 Replies
985 Views
Maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wameondoa kwenye soko zaidi ya tani moja ya nguo za ndani za mitumba ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa shirika hilo la kuhakikisha nguo hizo hazitumiwi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Bukoba. Iko hivi. Kama una mgogoro na mwenza wako usikubali akajifungue kabla hamjapatana kwa sababu mtoto atakayezaliwa anaweza kusajiliwa kwa jina la baba mwingine na maisha yakaendelea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Tunaanza kwa salamu Za jumapili, Lengo la Uzi huu siyo kuimiza ukabila, ila nikukumbusha wahaya kuwa mnachukiwa na kutengwa, Ukienda ofisi ambayo kuna mchaga unaomba kazi akiona jina la kihaya...
8 Reactions
142 Replies
22K Views
TAKUKURU imewataka aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya usajili klabu ya Simba Zacharia Hans Pope na Frankline Lauwo kujisalimisha katika ofisi zake au kituo cha polisi kujibu tuhuma zinazowakabili...
4 Reactions
93 Replies
18K Views
Bakema na bagosha waziri mwakyembe alisema kuwa wanaondoa FTA channels kwa lengo la kulipeleka hilo swala bunge la mfalme ndugai NASHANGAA MPAKA SASA NINI LENGO LAO MAANA TBC IPO KWA HEWA NA...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna mambo yanatokea Tanzania ambayo kwa kweli watu watashindwa kuyavumilia muda c mrefu Nashauri UN ibadili kanuni zake za kutoingilia mambo ya ndani ya nchi mwanachama kanuni hizi ndio...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
  • Redirect
Mbona Hatoi Mrejesho Kama alivyo tweet? Musiba Hajatekeleza agizo la Kabwe, muda ushapita, kimya kimetanda, na watu wamesahau ahadi wako busy na ukonga na monduli. et wanalalamikia matokeo!! na...
2 Reactions
Replies
Views
Leo tarehe 22 mwezi wa 5, mbwa mwenye kichaa wa mtaa wa Njedengwa ameng'ata watoto kadhaa, baada ya raia kushindwa kumuua tukapiga simu polisi kuja kusaidia kumuua mbwa huyu, polisi wamekuja na...
1 Reactions
157 Replies
11K Views
Wazazi wetu walikuwa wapiganaji sana kuliko vijana ' vilaza ' wa leo . Wazazi wetu walituzaa kibao huko kijijini halafu hawajawahi kuajiliwa na mtu yeyote, wamekuwa ni wakulima wa vishamba vidogo...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Trainee:Master unamchukuliaje mtu anae shave his ass? Master:Je wewe unamchukuliaje mtu anae safisha sebule yake? Trainee:Anategemea kupata mgeni. Master:Umepata jibu sasa. Trainee:Unataka...
0 Reactions
4 Replies
800 Views
Huu ni ukweli usiopingika hasa kwa wafuatiliaji wa siasa kama sisi kuwa ccm inaendeshwa na tume ya uchaguzi kwa wakati huu Kwa sasa ni rahisi wananchi kuamua lakini tume ikaamua ijuavyo juu ya...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom