simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
JamiiForum not for sale to ..................Magu yuko tayari kutoa hiyo hela ili ainunue JF na kuifunga.
Hawashindwi kabisa hawa watu akili zao wanajua wanatukomoa sisi kumbe nao pia wanazaa watoto,sijui wanafikiri watakaa kwenye uongozi milele!!!Serekali iko tayari kutoa hata Bilioni 20 kununua JF, ili wawe wanacontrol kinachoandikwa humu. Kile cha kuisifu serikali ndio kitaachwa, kile cha kuikosoa kinafutwa hapo hapo kwa kasi ya mwanga...