Habarini,
Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%.
Kwanini watu wa...
Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake.
Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana...
Hivi mjawahi jiuliza wahindi wengi wakitaka kujifungua wanakwenda canada au USA kwa kutumia ujanja wa matembezi au kusalimia.
Karibia asilimia kubwa wahindi waishio hapa tanzania wanatumia hii...
Watu wengi hudhani kuwa sehemu ngumu zaidi ya kuwa shahidi ni kula kiapo.
Sivyo.
Jaribu la kweli huanza pale wakili wa upande wa pili anaposimama na kuanza kukuhoji. Hii ndiyo hatua ambayo...
Hii nchi sijui tunaelekea wapi.Vifaa vya tehama mpaka mnasaidiwa au maigizo.
----------------
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea vifaa vya kisasa vya Chumba cha Kanzi Data...
Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU
Tumsifu YESU KRISTO. AMINA
Tumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kila jambo hasa kwa kumtuma mwanae aje atukomboe . AMINA
PASAKA ni nini pasaka...
Duniani kwa sasa, siasa ni moja ya vitu vichache ambavyo vimefanikiwa kuonyesha kuwa wasomi na wasiosoma wanaweza kushushwa uwezo wa kufikiri na ufahamu wao ukachezewa.
Leo kwenye nchi nyingi...
Kuna kitu kinaitwa "Scarcity Principle" (Kanuni ya Uhaba). Kitu chochote kinachopatikana kirahisi na kila muda, thamani yake huwa inashuka. Ukiwa mtu wa "ndio" kila wakati na unapatikana saa...
Kila kukicha najiuliza wananchi wa kenyea ni watu ama viumbe tofauti na sisi. Coz kwa wanayoyafanya they are on a high level sio siri.
You tube mtu anaamua kumpigia simu ocs ati wampitie nyumbani...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Mara, Manispaa ya Musoma, Kata ya Kwangwa.
Nililipia huduma ya kuunganishiwa umeme na TANESCO tangu Machi 2026 hadi leo mwezi Julai 2026 bado sijaunganishiwa, ni karibu...
Uganda imegubikwa na huzuni kufuatia tukio la kusikitisha lililoripotiwa kuhusisha familia moja kupoteza maisha kwa namna ya kuhuzunisha.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, watoto watatu wa...
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma ni hatua ya kimkakati itakayoiunganisha Tanzania na masoko ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameongoza mamia ya wananchi na wadau mbalimbali wa mazingira katika matembezi ya Save Soil...
Ahadi ni deni.
kama kitu huwezi sema siwezi sio unaanza kutoa ahadi za uongo.
Fake promise zitakugharimu vibaya sana yule uliemuahidi unamuachia maumivu makali sana.
Nipe cv yako kuna mahali...
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine...
By
Æfrica Macka Bara
-------------------------------------
Je, umefundishwa katika dini yako kuwa Biblia na Quran ndio vitabu pekee vyenye nguvu na maajabu? Ni kweli vitabu hivi ni miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.