TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,784
- 4,257
Baada ya Kitoilet paper cha Habib Mchange, naye akiwa ndiye mhariri wa kitoilet hicho kutoa kashfa kumtuhumu Nilesh mmiliki wa state oil kuwa alitoa pesa kuifadhili CHADEMA, nileshi alitoka kukanusha tuhuma hizo na kusema yeye hakuwahi kuifadhili CHADEMA, bali alimpatia Heche fedha kama mwanasiasa ili amsafishe katika kashfa yake ya mafuta aliyoifanya kunyume na makubaliano ya kibali hicho.
Nilesh ameenda mbali kwa kumuandikia barua Habib ya kutaka kuomba radhi ama alipe fidia ya 12B.
Nilesh ameenda mbali kwa kumuandikia barua Habib ya kutaka kuomba radhi ama alipe fidia ya 12B.