Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

AU ni clabu ya wahuni ndio maana wapo kuona ya wengine ila sio yao. Urusi imefikia hatua kutumia mitandao na madalali kudanganya ajira na fursa na ukifika kule unageuzwa kuwa chambo front...
1 Reactions
2 Replies
54 Views
Amani ya Bwana iwe juu yenu. Leo katika kusoma soma biblia nimekutana na maneno hayo hapo juu yakanitatiza kidogo. Nikutoka kitabu cha Luka 18:18-19. Natamani kujua kuwa Yesu alijipima kwenye...
0 Reactions
5 Replies
127 Views
Anonymous
Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na...
2 Reactions
7 Replies
249 Views
Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?
0 Reactions
9 Replies
115 Views
Katika nchi ambayo imepitia mateso na misuko suko hii nchi nayo hipo.Urusi alisha ibikiri,magaidi washaitanua na marekani kwenda kwa mparange mwisho wakachoka wakaondoka baada ya kuwepo mda mrefu...
5 Reactions
15 Replies
184 Views
Mh. Waziri Mkuu wa Tanzania, Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Ardhi husika, Naomba niwaombe wananchi wa Kipunguni walipwe fidia zao, jamani. Mmeondoa baadhi ya watu, lakini sehemu zilizobaki sasa...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
Prof. Raphael Tihelwa Chibunda ambaye ni Mkuu wa chuo cha SUA amesikika kwenye podcast ya Omari Kashera akisema kuwa siyo rahisi kupata degree ya cho hicho.
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday...
3 Reactions
44 Replies
637 Views
Serikali imeeleza kuwa imepanga kutumia zaidi ya shilingi trilioni sita kujenga kipande cha sita cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma. Akizungumza katika Kipindi cha Jambo Wikendi...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
Mwaka 2017 wanafunzi 32 wa shule ya msingi walifariki katika ajali ya basi la shule huko Arusha, ajali hii iliwashitua watu wengi ndani na nje ya nchi. Kutokana na mshituko huo CCM harakaharaka...
8 Reactions
8 Replies
323 Views
Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano. Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
3 Reactions
4 Replies
167 Views
  • Redirect
Mimi ni mzanzibar na mtanzania kadhaalika.... Leo nimeona tena maovu makubwa sana kwa eneo la Malindi zanzibar... Askari wamekua Hawna ubinaadamu wala imani ktk kazi zao.. Askari amenikamata...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hawa Sungusungu/Wagambo (Nyungu) mbona wana roho mbaya hivi? Wakifanikiwa kuwa Maaskari kamili si watavunja watu viuno. Wakuu wa jukwaa, kwanza salamu. Leo nataka niwape makavu laivu Hawa...
4 Reactions
14 Replies
317 Views
Katika ulimwengu wa leo, watu wengi wamewekeza zaidi kwenye kuonekana kuliko kuwa. Tumekuwa na utamaduni wa kutafuta sifa kabla ya mafanikio, kutafuta pongezi kabla ya matokeo, na kutafuta...
10 Reactions
12 Replies
226 Views
Ukipata muda wa kufuatilia mijadala mbalimbali humu ndani, unaweza kujifunza mambo mengi yanayohusu biashara, sheria, kilimo, teknolojia, afya, dini, historia na masuala mengi ya maisha. Mara...
5 Reactions
9 Replies
150 Views
Wapendwa habari ya majukumu ya kulijenga Taifa letu la Tanzania. MUNGU ni mwema kwetu,hakika anatupigania usiku na mchana,, Maada: Nimekaa nikijiuliza, kwanini nikianza kupata pesa mfulululizo...
5 Reactions
23 Replies
341 Views
Kitabu cha kwanza kwenye biblia ya wakristo kisiposomwa kwa jicho Pevu kinaleta tafsiri mbaya za kiteolojia. Nyoka alichomwambia Eva iikuwa uongo? No. No .No. Read the chapters in context and...
2 Reactions
9 Replies
111 Views
Zamani kidogo kabla sijajiunga JamiiForums nilikua natembelea sana jukwaa hili sasa kuna baadhi ya memba kadhaa niliokua nasoma comment zao lakini sasa siwaoni miongoni mwao ni mkwepu jr Huyu...
12 Reactions
16 Replies
344 Views
Ninakumbuka jinsi hiyo habari ilivyopa vya vyombo vya habari mwaka 2018. Peter Zakaria, mfanyabiashara wa mabasi na vituo vya mafuta, akiwa kwenye moja ya Sheli zake, alivamiwa na watu waliokuwa...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai...
11 Reactions
51 Replies
949 Views
Back
Top Bottom