Natafuta friend wa kushare mambo ya kiroho

Natafuta friend wa kushare mambo ya kiroho

Psalm 103

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2026
Posts
1,657
Reaction score
2,700
Wakuu happy day!

Natafuta friend wa kushare naye experience kuhusu maisha ya kiroho,,, maana wengi wanasema ukiwa unasali kama bado uko youth majukumu ya kiwa mengi hufiki mbali,,, je kuna ukweli katika hili? Maana haya maisha bila kutiana moyo unaweza ukashindwa na majaribu,,, madogo madogo tu ambayo kupitia mtu mwingine unaweza ukapata nguvu na matumaini ya kwendelea mbele!

My age 245 months.
Male
Thanks
 
Fanya hivi,
Kuwa msomaji wa nyuzi kadhaa za baadhi ya watu kisha sikiliza ushawishi wako wa ndani kujadiliana na mtu utakayevutiwa na nyuzi zake mfano Mimi niliwahi vutiwa na Mshana Jr Mzee wa Msata na kwa hakika nilijifunza mengi sana kupitia nyuzi zake.
Sawa mkuu! kuna wengine nyuzi zao duh! basi tu.
 
Back
Top Bottom