Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa...
Mimi ni mmoja wa vijana niliopata mafunzo kupitia VETA katika ngazi ya Level 2 na Level 3, kwenye fani kama Plumbing and Pipe Fittings, Electrical Installation (EEL) na fani nyingine. Tatizo kubwa...
Ndugu Wadau,
Mnamo tarehe 18 Julai 2026, kati ya saa 2 usiku hadi saa 7 usiku, katika Mji Mdogo wa Ilula, Wilaya ya Kilolo, kulifanyika operesheni ya kukamata wananchi iliyosababisha taharuki...
Ciao.!
Kuna vitu kama binadamu vinakua vinatokea kwenye maisha yetu ambavyo vingine vinaepukika ila ikitokea umevifanya mwisho wa siku vinakua vinakugharimu pakubwa pengine maisha yako yote...
Ukiingia kwenye maovu ambayo uwezi kupeleka mahakamani ,polisi wala nyumba za ibada ndio yanayo mkuta samia na wahuni wake.
Kwa sasa hakuna anawezwa kuwajibishwa sababu akifanya hivyo wataanza...
Nahisi Dkt. Dorothy Gwajima upo hapa JF.
Umeweza kuibua na kuzibiti maovu mengi kupitia mitandao ya kijamii na mpaka wengine kuchukuliwa hatua.
Ila Dkt. Dorothy Gwajima ili la mashoga limekuwa...
Hii ndio list ambayo ilimfanya yesu kuwekwa msalabani.
1.Dalali kwa jina Yuda.
2.Wasaliti kwa jina Yuda.
3.Hakimu.
4.Askari hapa mtajigawa wenyewe.
5.walio shabikia maovu Lucas Mwashambwa...
KWA MWANAUME FAMILIA YAKE NDIO KINGDOM YAKE. MWANAUME ASIYE NA FAMILIA HANA MILKI WALA HIMAYA. HESHIMA HAWEZI KUWA NAYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kitu cha Kwanza unapomlea mtoto...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
(LHRC) kimelaani vikali hali ya kuendelea kushikiliwa kwa wananchi mbalimbali katika vituo vya Polisi nchini kwa muda mrefu bila kupatiwa dhamana au...
Mungu" unayemwamini ni utendaji wa moja kwa moja wa kundi fulani la watu lililofanikiwa kuwatawala babu zako kwanza. Kabla ya Wazungu na Waarabu kuleta miungu yao, babu zenu walikuwa na miungu yao...
Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza...
Habarini,
Huu mfumo wa Ardhi Kiganjani lengo lake ilikuwa ni kuharakisha huduma lakini imekuwa kinyume chake ambayo ni kuchelewesha huduma.
Inakuwaje kupitisha nyaraka ya usajiri wa mkataba...
Baada ya kusambaa kwa video ikionesha Wananchi wa Kijiji cha Kisaki Mkoani Morogoro wakidai kuna ndugu zao wamepotea katika mazingira tata kwenye Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, mamlaka husika imetoa...
waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala.
Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili...
Wakuu ninachangamoto kwenye jina langu la kati kati kwenye nida ,hivyo nataka nibadilishe ili liendane na taarifa zangu za utumishi.nilitaka kufahamu ni mambo gani ninatakiwa kuyafuata kwa sasa...
1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu...
Kwa wale wadau wa CLEARING AND FORWARDING COMPANIES AND AGENTS, Nimewaletea mfumo unaotatua matatizo yenu yote..
huu mfumo una kila kitu cha kukuwezesha kuwahudumia wateja wako kwa ufasihi, mteja...
Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.