Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bora hata ambao wanakusanya habari na kuweka kumbu kumbu sio hawa tuliopo habari za kuokoteleza nao wanakubishia na kukwambia AI au sio yeye wakati kipindi cha nyuma alifanya. Sasa leo wagunduzi...
1 Reactions
4 Replies
255 Views
Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku. Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka...
16 Reactions
461 Replies
35K Views
Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na...
1 Reactions
10 Replies
280 Views
Kwenye vituo vyetu vya polisi siku hizi kumekua na tabia ya kukataliwa kupark/kuegesha gari eneo la maegesho. Eneo lina nafasi ya kutosha hakuna magari ila unaambiwa hapa hauruhusiwi kupaki. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
128 Views
Waziri Mavunde amewataka Watanzania waache kulialia kama watoto wanapowaona Wachina wanamiliki mgodi nchini. Mavunde amesema serikali haiwezi kuacha mtu aendelee kulima viazi vya kulisha watu...
6 Reactions
16 Replies
253 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la Leo. Lengo la vyombo vya habari, ni kuihudumia jamii, ukikutana na jambo fulani zuri, linawezeza kuisaidia jamii, unaliandika ili kushea na...
24 Reactions
60 Replies
7K Views
Pamoja na wasomi na wazalendo kusema umuhimu wa sheria na maridhiano serikali na machawa wake hawataki Je ni kiburi chao cha kutokujali au ni uwezo mdogo wa viongozi wetu ambao wamezidiwa na maji!?
2 Reactions
8 Replies
183 Views
Nimefuatilia dodoso za Lissu kwa maofisa wa vyombo vya usalama kama George ambaye ni deputy ZCO,kaaya ambaye anajiita ni doria wa mtandaoni na huyu bwana jela. ukifuatilia ni watu ambao uwezo wao...
9 Reactions
17 Replies
250 Views
Nakumbuka mwaka 2012 nilifungua biashara ndogo iliyonipelekea kukodi frem itakayonisaidia kufanya biashara yangu. Kwakua biashara ilikua bado changa nikaona ngoja niende Kariakoo nikanunue Radio...
14 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, maana ya Ndimugwanko ni nini? Ningependa kujua maana ya hili neno kutoka Kigoma.
2 Reactions
2 Replies
104 Views
Kuna filosofia kayika mahusiano ya wanadamu inayosema "ikibidi ua ili uokoe". Hii ni filosofia ambayo katika mazingira fulani inaonekana ni muhimu ili kulinda haki za mwanadamu, lakini pia...
2 Reactions
14 Replies
175 Views
NIMEONA HII HABARI BBC NASIKITAKA WANAUME TUNAPITIA MENGI SANA NIANXE KUTOA RIP WOTE WALIOIIUA LWA SABABU MBALI MBALI Dunia inaadhimisha Siku ya Afya leo ambapo kwa mujibu wa ripoti za Shirika...
6 Reactions
26 Replies
458 Views
Uwepo wa mchina ni mwiba kwa wafanyabiashara wanaopenda kutuuzia swala kwa bei ya tembo Wafanyabaishara wazawa kwa muda mrefu sana wametuumiza kwa tamaa za mafanikio ya haraka na kutoridhika...
15 Reactions
78 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa...
12 Reactions
133 Replies
2K Views
Future na kusudi la mwanaume hupotea akishaanza kujihusisha na haya mambo… Future ya mwanaume haifi kwa ajali. Hufa kwa maamuzi madogo anayoyarudia kila siku. Siyo kila mwanaume anayepoteza...
7 Reactions
32 Replies
417 Views
Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo. Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka...
19 Reactions
223 Replies
3K Views
Nimeanza na Komeo Lachuma anatambulika hivi - Inaonekana Komeo la Chuma (pia hujulikana kama Komeo Lachuma) ni jina la mtumiaji mwenye ushawishi mkubwa kwenye JamiiForums. Huyu ni mmoja wa...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi...
10 Reactions
83 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi hicho Dr. Jakaya...
9 Reactions
37 Replies
652 Views
Mkataa kwao ni mtumwa! Wanajamvi, jamii zetu za kale zilikuwa na mila na desturi nzuri ambazo zilitumika katika kulinda na kusimamia maadili ya watu wake. Lakini baada ya wakoloni kututawala...
7 Reactions
196 Replies
25K Views
Back
Top Bottom