Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi nilikuwa sijui kama Haika alikuwa mke wa Mzee Magesa ila baada ya huyu ndugu kupost mtandaoni ndo nikajua. Namjua Haika kama mfanyabiashara mkubwa jijini Dar Es Salaam. Kwa maelezo...
4 Reactions
21 Replies
987 Views
Tangu jukwaa la STORIES OF CHANGES lianzishwe mwaka 2021 na project zake za kuandaa shindano kila mwaka nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana. Mwaka 2025 na Mwaka 2026 hakujafanyika project hiyo...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Ukitaka kumtumia mama yako hela fanya kama ifuatavyo: 👇👇👇 1. Kwanza mtumie hela mapema iwezekanavyo like saa kumi na 2 hivi kasoro asubuhi. KWANINI? : AIANZE SIKU YAKE VIZURI KWA KUPOKEA...
10 Reactions
21 Replies
606 Views
Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Mhe. Upendo Wella (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nishati ya Puma Tanzania, Bi. Fatma Abdalla (kulia), wakipanda na kumwagilia mti katika Shule ya Msingi...
2 Reactions
1 Replies
108 Views
Wiki iliyopita ukifungua mitandao utakuta kila ukurasa wanaongelea yale yale Katoro.,Show za Harmonize na Diamond,Mwijaku kasema nini,Dotto Magari kajibu nini.Halafu media zote zina-copy na...
3 Reactions
1 Replies
88 Views
Nipo kwenye mchakato wa kugawa pesa katika miradi midogo midogo, nione namna ya kufikia uchumi wa Kati Kwa makusanyo ya tsh 100,000/= Kwa siku na kuzidi, hii miradi ambayo nataka mtaji wake...
7 Reactions
21 Replies
478 Views
https://www.youtube.com/live/AhPf5oKLqeA Mgeni wetu ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo akizungumza na ST BONGO TV.
1 Reactions
0 Replies
83 Views
Hili nimeshindwa kukaa kimya vijiji vingi Tanzania vina ushirikina HUSDA nahii Kupeleke kulogana Yani ukipata hela kidogo Wanakuloga unaludi nyuma vijana hapa mtaani kila anaetoka kwenda mjini...
5 Reactions
22 Replies
309 Views
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ametoa onyo kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Songea hadi Masasi kupitia Tunduru kilovoti 220 na kumtaka Mkandarasi...
1 Reactions
2 Replies
154 Views
Kama kichwa kinavyojieleza watu wa Mungu tuzidi kumuinua kwenye maombi mchungaji AMIELI KATEKELA mara kwa mara amekuwa akiwekewa sumu na hata kutumiwa watu wenye silaha za moto bunduki kutafuta...
1 Reactions
16 Replies
290 Views
Linaweza kuonekana kama jambo la kushangaza, lakini ukiangalia kwa makini utagundua kuna ukweli mkubwa ndani yake. Tumefika kipindi ambacho watu wengi wana uwezo, nia na utayari wa kuwainua...
2 Reactions
3 Replies
113 Views
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan umeufungua Mkoa wa Kigoma kwa kufanya ufikike kwa urahisi, kupunguza...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Propaganda majitaka jinsi zinavyozidi kuonesha CCM ni mfu
2 Reactions
4 Replies
141 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa...
1 Reactions
10 Replies
385 Views
Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo) Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa...
15 Reactions
71 Replies
975 Views
Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa...
1 Reactions
8 Replies
147 Views
Kwa sasa, takribani miaka mitatu imepita tangu Serikali ilipotangaza kuleta mabehewa sita ya ghorofa ya SGR (June 2023), ambayo kwa pamoja yalielezwa kuwa na uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 250...
3 Reactions
16 Replies
490 Views
Kero:Mtaa magaka,kata ya kahama-ilemela.Mtaa wa magaka ni mkubwa lakini unaongozwa na mwenyekiti mmoja kutokana ukubwa wa eneo baadhi ya huduma muhimu zinakuwa mbali na makazi. Kuna changamoto ya...
0 Reactions
3 Replies
72 Views
Benki ya NMB (@nmbtanzania), imewekeza takribani Dola za Marekani Milioni 100, sawa na Shilingi Bilioni 224, katika mkopo wa pamoja wenye thamani ya Dola Milioni 500 kwa ajili ya Mgodi wa Dhahabu...
1 Reactions
9 Replies
250 Views
Habari hii inaonyesha changamoto inayowakabili baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Machinga Complex Dodoma, ambapo wanadai kuwa biashara zimepungua kutokana na ukosefu wa wateja na mzunguko...
0 Reactions
2 Replies
131 Views
Back
Top Bottom