Forwarding and clearing software

Forwarding and clearing software

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
139
Reaction score
243
Kwa wale wadau wa CLEARING AND FORWARDING COMPANIES AND AGENTS, Nimewaletea mfumo unaotatua matatizo yenu yote..
huu mfumo una kila kitu cha kukuwezesha kuwahudumia wateja wako kwa ufasihi, mteja anaweza kujua hali ya mzigo/container yake,

picha inaanza:
1. Dashboard: hii inakupa summary ya mfumo kwa ujumla: mfumo unaweza kutumia lugha ya kiswahili na kiingereza.
dashboard.png


2: hawa ni wateja wako wanaonesha nia ya kufanya kazi na wewe, halafu unawabadili kuwa customers mkiridhiana.
leeds.png


3: Quotation. Hii ni summary ya gharama unayoiandaa na kumtumia mteja kabla hamjakubaliana. akiridhia hiyo gharama mnafanya kazi.

Screenshot (67).png


4: Operation.. Hapa ndipo kiini cha kazi yako clearing.
Utaweza kuTrack shipment, na documenations zote. pia uta calculate gharama kama Dummerage and Detendtions zote. hapa.

Screenshot (69).png


4.1: Dumerrage. Umekubaliana na mteja kwamba mzigo utafika bandarini tarehe 2, ikifika tarehe 7, awe ameuchukua tayari, ila mteja anakuja tarehe 15. mfumo unaCalculate gharama za storage ya extra days ambazo zipo nje ya makubaliano.

4.1.1. Rate card. hapa unaweka vigeza, may be kwamba kuna 5 free days za kukaa namzigo wa mteja, hizo ziku zikifika hajachukua mzigo wake, unamchaji kwa siku (mfano 25000 kwa siku).

Screenshot (70).png


4.1.2. Dumerrage Cost calculation. Hapa unajua generate invoice za gharama za extra days ambazo mteja hajaja kuchukua mzigo wake.

Screenshot (71).png

Invoice is now generated: mfumo unaangalia kama kuna gharaza ambazo hazijawa calculated(hazijakokotolewa), na kuGenerate invoice.

Screenshot (73).png


5: Finance. hapa una manage invoices, expence, exchange rate (USD <->TZS) pamoja na accounting.

Screenshot (74).png


5.1. Invoice sample. hii ndo aina ya invoice(risiti) ambao mfumo unatoa, Na hii Risit in QR-Code ambayo mteja anaweza kuScan inkamsaidia kutrack container yake.(UNAWEZA KUJARIBU KUSCAN SASAIVI)

Screenshot (75).png


5.1.2: Akiiscan ataiona kwenye simu yake kama ifuatavyo..(jaribisha na simu yako)

scanned.jpeg


6.1: Report. Hii sehemu inakupa na kukuonesha mwenendo wa kazi yako. amabazo unazifanya, unaweza kupakia na kupakua (upload and donwload) file in form of CSV EXCEL. (Napia unaweza ukaPrint report hizo kwa pamoja)

Screenshot (76).png


6.2. Report Schedulling(weekly/monthly): scheduling is the process of automating the generation and distribution of status or data summaries at regular day intervals.
Kwa kifupi, hii ni njia ya kuGenerate Report automatically/moja kwa moja kilaa maada ya muda (wiki/mwezi) na mfumo unautuma kwa muhusika moja kwa moja. Hamna haja ya kuwaambia waajiri wako wakutumie report. mfumo unafanya kazi hiyo kwa ajili yako.

Screenshot (77).png


6.3: Insight: (Ufahamu wa kina kuhusu mwendo wa kazi yako)

Screenshot (78).png

Screenshot (79).png


Screenshot (80).png

7: ADMINISTRATION: MFUMO HUU UNAKURUHUSU KUREJESHA DATA AMBABAZI ZIMEPOTEA KWA BAHATI MBAYA, UNAWEZA KUTUNZA NA KUREJESHA TAARIFA ZOTE ZA KWENYE MFUMO.
Screenshot (81).png


2. SEHEMU YA PILI NI SEHEMU YA H.R (HUMAN RESOURCE)
Kumbuka huu mfumo una "PAYROLL NDANI YAKE" UNAWEZA KUENDESHA SHUGHULI ZOTE ZA ULIPAJI MSHAHARA, MKOPO, SALARY ADVANCE, SALARY SLIP........ ZOTE HUMU,

Screenshot (82).png


2.1: HR staffs. (Hapa H.R ana Manage payroll humu.)

Screenshot (83).png


2.2: NIDA VERIFICATION. Mfumo huu utaweza kuMverify taarifa za mwaajiriwa kupitia namba yake ya nida.
Screenshot (84).png


TO cut the storry short, huu mfumo unawafaa watu hasa wa C $F agents and companies.
faida yake:
1. Auto report generation.
2. Auto data backups.
3. Integrated Payroll (Hii inakusaidia kuendesha shughuli zote za kiofisi ndani ya mfumo moja)
4. Rahisi kutumia.. (Device responsive)
5. Hurahisisha shughuli nyingi ambazo zingefanywa na waajiriwa wengi, zinaweza kufanywa na watu wachache..
6. Huokoa Muda
7. Ni salama.

Unaweza kupata live demo ukatest mwenywe kwa kutembelea tovuti: frontend

login (trace@gmail.com, password: trace123).

Unaweza kuunua mfumo huu moja kwa moja (na wewe ukawa unawauzia wengine huduma), au ukaukodisha unalipia kwa mwezi... Bei itagemeana na idadi ya USERS wako (idadi ya watu).

Unaweza pia ukaja na IDEA yako TUKAKUTENGENEZEA MFUMO KULINGANA NA MAHITAJI YAKO.
KWA MAWASILIANO NIPIGIE SIMU (0720224372).

PIA TUNA MFUMO WA KUENDESHA SHULE. SchoolHub Africa (kwa password Nicheki 0620224372)
na mfumo wa kuendesha Hoteli/Lodge Hotel Management Platform — RoomPilot (password nicheki 0620224372)

AU, UNAWEZA KUTEMBELEA TOVUTI YANGU UKAONA MIFUMO ILIYOPO.
 
Back
Top Bottom