Amitabh Bachchan (mwigizaji gwiji nchini India) aliwahi kusema:
"Katika kilele cha kazi yangu, wakati fulani nilikuwa nikisafiri kwa ndege. Abiria mmoja karibu yangu alikuwa bwana mzee aliyevaa...
Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani...
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Harriet Lwakatare, akichangia damu kwa ajili ya kuongeza akiba ya damu katika Benki ya Damu nchini na kusaidia kuokoa maisha ya watu...
Anayetunuku nyota mabegani kati ya JWTZ na Polisi Mbona Tofauti. Rais anasimamia upande upi? CDF na IGP nani mkubwa? Mbona sijaona mgambo ana cheo chochote?
Je JWTZ na JKT wako sawa?
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa.
Dkt...
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma...
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma...
Huu ni uzi wangu wa kwanza kubandika kwa kutumia id yangu mpya baada ya ile niliyokuwa natumia tokea 2010 kusahau nywila yake. mwaka 2016 ilikuwa mwisho kuitumia nikawa nje, niliporudi mwaka 2024...
Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula.
Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula...
Ukwerli mchungu ambao wengi wanaukwepa, lakini unaharibu maisha, ndoto, na nguvu kazi ya wanaume wengi katika jamii yetu.
Tunazungumzia thamani ya jasho la mwanaume na hitaji la haraka la...
Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya...
Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo.
Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii...
Umoja wa Ulaya (EU) na Ujerumani wamezindua mradi wa uchumi wa buluu wenye thamani ya TSh bilioni 49, unaolenga kuimarisha sekta ya uvuvi, bandari na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari...
Mradi wa Sinovest Industry katika Bagamoyo Special Economic Zone (BSEZ) unaendelea kwa kasi, ukiwa na uwekezaji wa Dola milioni 50 na eneo la mita za mraba 210,080. Kiwanda hicho kinatarajiwa...
Mimi ni fundi seremala kutoka Shinyanga Mjini. Mnamo tarehe 17 Agosti 2023, nilipewa kazi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Shinyanga Mjini ya kutengeneza samani, zikiwemo viti, benchi, meza na...
Habari za usiku wadau,
Jamani samahani naombeni kuuliza kwa wenye taarifa za sasa kuhusu gharama halali na halisi ya Affidavit kwa mtu asiye na cheti cha kuzaliwa maana kuna vijana wangu...
Wako kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kila mwalimu mwenye sifa anapewa leseni na atapaswa kuilipia kiasi cha shilingi laki 1 na 20 elfu.
Kuwa na leseni ni sahihi kabisa ila hiyo ada bila...
Wananchi wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wameeleza kufurahishwa na kasi ya utoaji huduma za ardhi kupitia Kliniki ya e-Ardhi inayoendelea wilayani humo, wakisema huduma hiyo imepunguza muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.