Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna vitu ukivipoteza, huwezi kuvipata tena hata ukiwa na pesa. Wakuu, nimekuwa nikifikiria jambo hili. Maisha yanatufundisha kucheza na vitu vingi kwa sababu tunaamini vinaweza kurudi. Pesa...
6 Reactions
80 Replies
554 Views
Matukio ya kikatili na ya mauaji yanazidi kuongezeka. Visa ni vingi sana. Kuwa na mali na uwezo wa kiuchumi ni vizuri sana ila visigeuke kuwa tishio la uhai wako. Tamaa zinawamaliza wengi. Ndio...
5 Reactions
11 Replies
74 Views
WATU WAPUNGUZE KUJITOA KUPITA KIASI KWENYE MAPENZI Kuna watu wamefikia hatua ya kujiua au kuuana kwa sababu ya mapenzi. Lakini ukweli ni kwamba binadamu si wakamilifu, na hakuna anayehakikishiwa...
4 Reactions
19 Replies
95 Views
Kama unafikiri wewe ni mdogo sana kiasi cha kutoweza kuleta mabadiliko au athari duniani... jaribu kulala chumba kimoja na mbu mmoja tu!" — Dalai Lama. Hebu fikiria hili: Binadamu ana uzito wa...
4 Reactions
6 Replies
44 Views
Nyoka wana mfumo mkali sana wa kunusa (kupitia ulimi wao na kiungo kinachoitwa Jacobson's organ), hivyo huwa wanajiepusha na mimea yenye harufu kali au inayochoma. Hapa kuna orodha ya mimea na...
10 Reactions
12 Replies
298 Views
Tukio la kuhuzunisha la bwana Laurent Kweka kumuua mke wake Janepher kwa kumpiga risasi imeleta simanzi na kutawala vichwa vya habari kila mahali hasa mitandao ya kijamii. Sasa rasmi nimeamua...
7 Reactions
16 Replies
269 Views
Rais wa Wabunge Wanawake wa IPU, Cynthia Lopez, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mfano wa uongozi wa wanawake duniani, akisisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki na kuongoza katika...
3 Reactions
13 Replies
92 Views
Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
3 Reactions
29 Replies
278 Views
Kesi za wanaume kuua wake zao kwa kuwapiga risasi Marekani zimekuwa nyingi sana. "Kweka" hao kwa Trump wakishaua wake zao wanageukia watoto kuwaua halafu baadaye nao wanaelekeza mtutu nakujiua...
2 Reactions
14 Replies
101 Views
Anonymous
Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua. Aidha, watumishi hao...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Swali ili ni sawa na kuku na yai nani wa kwanza. Ukitafuta maana zake: Fikra ni mchakato wa akili wa kutafakari, kuchambua na kuunganisha mambo. Wazo ni kitu kinachojitokeza kutokana na mchakato...
0 Reactions
1 Replies
14 Views
Anonymous
Hii ni risiti sijui niseme karatasi ambayo inaonesha Bodaboda alikamatwa tarehe 28 Septemba 2026 na Askari wa Jiji katika Mitaa ya Kariakoo wakati akishusha abiria. Sasa hii ndiyo risiti kweli ya...
0 Reactions
10 Replies
203 Views
Mfumo wa ESS hautoi risiti za mishahara ya Septemba 2026, Mbona hakuna maelezo??
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
3 Replies
41 Views
At some point you need to accept that for you to discover your full potential family has to pull back so that you can learn to fly on your own but don't be fooled to think that water will make you...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Wakuu.... The LORD is good!¡ Kwa warle vegetarian wanaruhusiwa kurrrla samaki na dagaa, na vipi kuhusu senene.... Vegetarian kama mmo humu nipene mwongozo mimi little boy nifanye decission...
2 Reactions
42 Replies
272 Views
Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo...
18 Reactions
244 Replies
5K Views
Hii kazi ni kama ya kizembe ukiiona ila ni moja ya kazi ngumu sana duniani.
4 Reactions
5 Replies
130 Views
sikutaka tuwe na post leo..ilikuwa tupumzike..mishemishe za kilingeni jana zilikuwa si haba Lakini hebu tujadili kidogo hili la maiti(sio marehemu) Maiti ni mzoga pumzi ikishatoka imetoka...
18 Reactions
92 Replies
13K Views
Back
Top Bottom