Utofauti wa PC na simu MTUMBA na REFURBISHED ni upi?

Utofauti wa PC na simu MTUMBA na REFURBISHED ni upi?

Mtumba: used, second hand, unauziwa kadiri ilivotumika.

Refurbrished: Toleo la zamani ila limeboreshwa kuendana na Toleo la Sasa. Unaweza kuwa muonekano, performance au uwezo. Not used at all.
 
Back
Top Bottom