Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Hii ni risiti sijui niseme karatasi ambayo inaonesha Bodaboda alikamatwa tarehe 28 Septemba 2026 na Askari wa Jiji katika Mitaa ya Kariakoo wakati akishusha abiria. Sasa hii ndiyo risiti kweli ya...
0 Reactions
10 Replies
203 Views
Mfumo wa ESS hautoi risiti za mishahara ya Septemba 2026, Mbona hakuna maelezo??
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
3 Replies
41 Views
At some point you need to accept that for you to discover your full potential family has to pull back so that you can learn to fly on your own but don't be fooled to think that water will make you...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Wakuu.... The LORD is good!¡ Kwa warle vegetarian wanaruhusiwa kurrrla samaki na dagaa, na vipi kuhusu senene.... Vegetarian kama mmo humu nipene mwongozo mimi little boy nifanye decission...
2 Reactions
42 Replies
272 Views
Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo...
18 Reactions
244 Replies
5K Views
Hii kazi ni kama ya kizembe ukiiona ila ni moja ya kazi ngumu sana duniani.
4 Reactions
5 Replies
130 Views
sikutaka tuwe na post leo..ilikuwa tupumzike..mishemishe za kilingeni jana zilikuwa si haba Lakini hebu tujadili kidogo hili la maiti(sio marehemu) Maiti ni mzoga pumzi ikishatoka imetoka...
18 Reactions
92 Replies
13K Views
nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku...
1 Reactions
8 Replies
77 Views
Mwanamume unaamini mwanamke akisoma anakuwa tatizo kwenye mahusiano, ‘hatawaliki’ na ataishia kuwa msimbe. Kwa nini sasa unasomesha watoto wa kike? Unawaandaa kuachika? Haya. Umeoa asiyesoma...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Binadamu sisi tuna namna tofauti za kujenga utambulisho. Kila mmoja wetu ana eneo analojivunia nalo, linalomfanya ajisikie fahari hata kama hasemi wazi wazi. Mwingine ni kuonekana mtu wa...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
TAHADHARI: JILINDE DHIDI YA NGONO ZEMBE, MAKEBO MAKUBWA YASIKUPUMBAZE, TAMAA YA PESA ISIKUDANGANYE. Tz, botswana ,sauz, mozimbqe, zim, namibia, angola ilikuwa ya moto sana ila sauz ndio ilikuwa...
3 Reactions
8 Replies
110 Views
Ipo kila sababu ya kuufufua mjadala wa Bodi ya kitaaluma ya Walimu kuliko Ili kupata nguvu ya mjadala wa leseni. Kitaaluma leseni za ualimu sharti ziukiliwe na chombo ambacho ni Bodi. Kujadili...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Amitabh Bachchan (mwigizaji gwiji nchini India) aliwahi kusema: "Katika kilele cha kazi yangu, wakati fulani nilikuwa nikisafiri kwa ndege. Abiria mmoja karibu yangu alikuwa bwana mzee aliyevaa...
0 Reactions
1 Replies
46 Views
Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani...
1 Reactions
1 Replies
42 Views
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Harriet Lwakatare, akichangia damu kwa ajili ya kuongeza akiba ya damu katika Benki ya Damu nchini na kusaidia kuokoa maisha ya watu...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Anayetunuku nyota mabegani kati ya JWTZ na Polisi Mbona Tofauti. Rais anasimamia upande upi? CDF na IGP nani mkubwa? Mbona sijaona mgambo ana cheo chochote? Je JWTZ na JKT wako sawa?
4 Reactions
151 Replies
29K Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amesema si sahihi kwa wanaume kuwasomesha mabinti kwa kigezo cha kuja kuwaoa watakapokuwa wakubwa. Dkt...
3 Reactions
36 Replies
369 Views
  • Redirect
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma...
0 Reactions
– Replies
– Views
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma...
0 Reactions
2 Replies
40 Views
Back
Top Bottom