Jackson matthew Senior Member Joined Jun 26, 2026 Posts 159 Reaction score 354 Aug 25, 2026 #1 Maisha ni juhudi yako na upambanaji wako hamnaga bahati katika maisha usijidanganye.kula kazi wasela wangu maisha inakutegemea.
Maisha ni juhudi yako na upambanaji wako hamnaga bahati katika maisha usijidanganye.kula kazi wasela wangu maisha inakutegemea.
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,486 Reaction score 15,202 Aug 25, 2026 #2 Hamna bahati kwenye maisha yako, ila kwa sisi wengine bahati tumekutana nazo
Optimists JF-Expert Member Joined Oct 17, 2021 Posts 458 Reaction score 1,350 Aug 25, 2026 #3 Watu wana bahati mzee acha kabisa, sisi waomba Mungu ndio inabidi tukaze
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,890 Reaction score 9,521 Aug 25, 2026 #4 Bahat ipo kaka watu wanavismat Balaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,291 Sep 13, 2026 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 1,789 Reaction score 3,254 Sep 14, 2026 #6 usiseme kwenye maisha, sema wewe huna bahati