Je, nini kingetokea endapo Yuda asingemsaliti Yesu?

Je, nini kingetokea endapo Yuda asingemsaliti Yesu?

Je endapo Yuda asingelimsaliti Yesu nini nini kingetokea katika mpango wa wakovu wa mwanadamu?
... Mkuu mpango wa wokovu ulikuwepo mwanzo na ahadi ilitolewa pale edeni. Na shetani alitumia kila mbinu kuhakikisia haitimii, ndio maana akaanza kumuua abeli, so YudA may be angeokoka! Tamaa zake Zikamponza.
 
Kwani ni nini kimetokea baada ya Yuda kumsaliti huyo Yesu?

Absolutely nothing.
 
Back
Top Bottom