Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,464
Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu.
Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa na pesa makosa yako kwa wazazi watapewa wengine, iwe ni wadogo zako au kaka zako,
ukiwa na pesa ukweni hata kama wewe ndio una shida baba mkwe, mama mkwe wote unawamudu ikitokea kuna changamoto kwenye ndoa.
PESA NI SHETANI KABISA