Nyumba iliyojengwa Lushoto (Tanga) kwa ajili ya DJ. Don Nalimison iuzwe au wapewe CHADEMA kuwa Ofisi yao

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,433
2,000
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine.

Unanijengea NYUMBA huku hati haina jina Langu, hivi una akili kweli? Nashauri na kulazimisha NYUMBA hiyo iuzwe au wapewe Chama Cha CHADEMA ambacho niligombea Ubunge Jimbo Hilo la Lushoto mwaka 2010. Naomba msihariri hati ya NYUMBA Bali uzeni mle na hizo Pesa.

Mimi sio fala Kama waliojenga hiyo NYUMBA. Mimi sio wakujengewa NYUMBA kwa Pesa zangu na makapuku yaliyoheshimishwa ili nionekane boya. Tafadhalini Sana. Uzeni hilo TAKATAKA lenu na Pesa mgawane, siwezi kuishi kwenye TAKATAKA lenu.

Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON. Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.

DJ. DON NALIMISON.

Screenshot_20211123-125139.png
 

Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
3,012
2,000
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba Kama gofu huku hati ya NYUMBA imeandikwa jina la mtu mwingine.
Mungu wangu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom