Ndani ya Uislamu Kuna madhehebu mengi sana,
Sasa ndani ya Sunni Kuna vikundi au madhehebu Tena mengine mengi, sasa Hawa Ahlul Sunna waljamaa na Salafi ni madhehebu au vikundi ndani ya Sunni...
Dhambi, laana au Mikosi inatolewa kwa Sadaka ya Damu (Yesu alitoa Sadaka hiyo ya Damu kwaajili yako).
Katika maisha ya mwanadamu, damu ndiyo msingi wa msamaha na utakaso. Bila damu, hakuna...
Kuishi kwingi kuona mengi wakuu.
Habari za Leo ninyi nyote wakuu!
Ninaudhoefu kadhaa wa kuishi porini kulingana na kupenda Nature ama kuwa na Hobby ya kilimo na kufuga.
Nimeishi maporini Kwa...
Tujitafari,
Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani.
Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa...
Je, unatafuta mwalimu mwenye uwezo wa kumsaidia mtoto wako kuelewa masomo vizuri, kuongeza ufaulu na kujiandaa kwa mitihani kwa ufanisi?
Elite Home Tuition inatoa huduma ya tuition ya kibinafsi...
Wadau za wakati huu,
Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii...
Mambo vipi wakuu?
Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula...
Kama mzazi na ndugu wa baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari LYAMUNGO iliyopo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro; tungeomba TAMISEMI na Wizara ya Elimu wawe wazi kuhusu maisha halisi...
Samia saaaafi ??
Saaaafi
NDUGU MWESHIMIWA, TUNAOMBA GESI IWE AFU40 MTUNGI MDOGO MANA AFU 28 NI RAHISI SANA TUNAKUA TUNAINYIMA SEREKALI MAPATO
NB: JF MKIFUTA HUU UZI AU KUUNGANISHA MNAFUNGIWA...
Kwa vizazi vingi tumeambiwa: “Soma kwa bidii, utapata kazi nzuri.”
Lakini maelfu ya wahitimu wenye alama A wanazunguka mitaani, wanaogopa kuanza biashara, na wanategemea mwajiri au serikali...
Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani.
Huyu mwengine...
Asch Conformity Experiment: KWANINI TUNAFUATA WENGI HATA WANAPOKOSEA?
Mwaka 1951, mwanasaikolojia Solomon Asch alifanya jaribio ambalo lilionyesha jambo la kushangaza: watu wengi wako tayari...
PAVLOV'S CLASSICAL CONDITIONING: JINSI AKILI INAVYOJIFUNZA BILA WEWE KUTAMBUA
Je, umewahi kusikia mlio wa simu ukahisi haja ya kuichukua hata kabla hujajua nani amepiga?
Au umewahi kunusa harufu...
Nilishasema haya mahisa, maUTT sijui maBOND ya serikali kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai...
Nikurejeshe mwaka 2010 ilikua balaza la Maulid kijana mmoja anafahamika kwa jina La Ibrahim aliweza kumfikia Raisi wa wakati huo na kumpiga kofi , sababu ilikua ni nini? Fuatilia video hapa chini...
Kwangu huu wimbo zilipendwa unazungumzia muabudu pesa
https://youtu.be/l8O6jFXXV_Y?si=d3VXfZomiiMX7azj
mmiliki pesa anadumisha utu kuuweka mbele, huyu ndo atasaidia hata ndugu na rafiki zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.