Mimi sio mbaguzi wa kijinsia ila ukweli kwa Africa hii Gender iliyoumbwa kupitia Ubavu wa Mwanume bado haina uwezo wa kuongoza Taifa.
Hii ni kutokana na Mazingira wanayokulia na kulelewa hawa...
Habarini wapendwa
Leo nilikuwa naangalia mfululizo wa zile vid za southafrica na ule Umatilla mkubwa
Nikajiuliza haya maswali mpaka sasa wana kama mwezi wa pili
1)Je hawa wote wako barabaran n...
Habari Wana jamvi,
Kwa wale waliowahi kufika hotel ya Southern sun Posta Mpya karibu na hospital ya Ocean road, Dare es salaam mtakua mmeshawahi kuona viota vingi vilivyojengwa na hawa ndege aina...
Kwanza kabisa Takriban 37% hadi 42% ya watu wote duniani wana kundi hili la damu. Nafasi ya pili inashikiliwa na kundi la A Chanya (A+) ambalo linapatikana kwa karibu 31% ya idadi ya watu duniani...
Watu ndio kwanza wanaenda kuanza maisha mapya au ndio wanaanza kujitafuta, lakini unakuta ukumbi tu na huyo mc wanasepa na milioni 5 au hata zaidi na hapo. Kuna wasafirishaji na mambo ya misosi na...
Wakolosai 3:5-17
Basi, ueni chochote kilicho ndani yenu ambacho ni cha kidunia: Uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu). Kwa sababu ya mambo hayo hasira...
Neno la Mungu linasema
Mathayo 21: 13 “akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa PANGO LA WANYANG’ANYI”
Umewahi kujiuliza kwanini, kwanini Bwana...
TUMIA SILAHA KUU 4
TUMIA SILAHA KUU 4
Silaha ya kwanza
1)usitende dhambi jitahidi usitende dhambi na tubu dhambi zako mara kwa mara,samehe watu waliokukosea,usilale na hasira...
Kila mwandamu ana kitu chake Mungu amemuumba nacho cha pekee kinachomfanya awe wa pekee tofauti na mwingine ambacho kitampa nafasi fursa hapa za kufanikiwa hapa duniani(kuleta ugali mezani)...
KUTOKUSAMEHE KUHIFADHI UCHUNGU MOYONI*
Mfano 1.
muonekano wa nje*
Mama G huyu mama wa watoto 4 mwenye umri wa miaka 56..anatumikia kanisani kwa miaka 20 sasa,anaimba kwaya,anafundisha anahubiri...
Mwanamke akipewa pesa bil kuomba kwa mpenz wake au mwanaume apo ndio mwanaume utaonekana unapenda na unajar tena wewe ndio mwanaume na nusu,Vivyoivyo kwa mwanaume akiwa anaitwa na mwanamke,mpenz...
Habari zenu nahitaji msaada ni wapi nitapata mafunzo ya IDRAS
Iwe ni sehemu, taasisi, au ofisi itakayonisaidia jinsi ya kujifunza mfumo Kwa vitendo
Natanguliza shukrani na pia napokea ushauri...
HIVI UNAJUA KAMA.UKICHUKIA KUNA MISTARI INAPOTEA GHAFLA KIGANJANI KWAKO?
Yes kama ulivyosoma
no research no right to speak
fanya uchunguzi kesho lete mrejesho
Kuanzia Leonardo, yule jamaa wa "Tutakufuatilia", Eliud na mkewe, Koy Mzungu, Mama Mawigi, Mwenyekiti, Big na wenzie, Mlima Viazi Nziku kule Njombe, Wanyalu Tulizo na wenzie kitefu cha makani...
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mara nyingi, ninapotokuwa na safari ya dharura, hutumia usafiri wa basi.
Katika safari hizo...
Wamekufundisha kuamini sayansi, lakini hawakukuambia kuwa nyuma ya vipimo na vitabu vyao kuna uchawi wa kale unaofufuka.
Hii si nadharia ya vichaa – ni sauti ya mwisho kutoka kwa Anonymous...
Habari Tanzania !....
Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata...
Narudi bongo mwezi august natoa HUDUMA ya kuuza mbegu za kiume Kwa wanawake hii nimeikuta USA nakuja nayo Tanzania mloganzila wanapandikiza wanawake mbegu kama sikosei. Ila kutokana na mazingira...
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya watu sita waliokuwa wametekwa kuuawa, tukio lililozua hofu kubwa na kufufua wasiwasi kuhusu hali ya usalama nchini.
"Leo ni siku ya kitaifa ya maombolezo na...
Hongera Dr.Nchimbi kwa kumuwakilisha vema Rais wetu kipenzi cha watu Dr.Samia Suluhu Hassan hakika haikuwa bahati mbaya kuwa mteule wake. Kiukweli leo umegusa mioyo ya watanzania wengi. Umeiambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.