Kama ujawahi kufika nchi za watu uwezi kufahamu.
Hapa kwetu tunekarabisha wasiojulikana ambao ni serikali.
Kwa nchi za wenzetu utekaji wa watoto ni mkubwa sana.Wengi uchukuliwa kwenda kuuzwa...
Huku Tabora tunachangamoto ambayo inatakiwa kushughulikiwa na TANESCO, kwani inapotokea wamebadilisha Mita na kufunga zile za Smart kama ulikuwa na umeme (Units) mwanzoni kwenye ile Mita ya mwanzo...
Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase...
Suala la muungano sio suala la hitaji binafsi la mtu maana ni suala ambalo linagusa taifa vizazi na vizazi.
Ninadhani mpaka kufika suala la kuungana au kutoungana ilibidi maoni yakusanywe kutoka...
Kifo cha Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Sylvanus Msuya, kimeacha simanzi miongoni mwa waumini, viongozi wa dini na watu wengi walioguswa na...
Kulikuwa na marafiki wawili waliokuwa wakijulikana sana katika kijiji cha Mwembeni. Mmoja aliitwa Juma na mwingine Baraka. Wote walikuwa wawindaji hodari, lakini walikuwa na tatizo moja...
Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...
Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye...
Yamkini Ni Mwanaume na Una mtizamo wowote Juu ya Wanawake Wenye Watoto/Single Mothers Hili Linakuhusu,
Tusilitizame tu kwa angle ya Sisi ni Wanaume,Tulitizame Hili pia kwenye angle na mtizamo...
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk. Ayub Rioba amesema mwaka 2010, wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika viwanja vya...
Wakulima wengi hupitia wakati mgumu sana kabla ya mavuno. Kuanzia kupanda hadi kuvuna huwa wanapitia ukata wa hatari sana kifedha. Mimi ninashauri ukivuna ukabahatika kukutana na bei nzuri sokoni...
Dar es salaam sasa mafuta ni 3820 kwa lita na mikoa mingine imefika mpaka 4060 kwa lita ya Petroli.
Tunakubali kuwa vita zimechangia mfumuko huu wa bei lakini serkali ina kodi na tozo nyingi mno...
Awali niliandika kuwa Barabara ya iliyopo Jiji la Mwanza, Wilaya ya Nyamagana, Kata ya Kishiri, eneo la Mtaa wa Mnazi Mmoja kuelekea Bukaga ni mbaya sana na inatakiwa maboresho tunashukuru Mungu...
Ni vitu gani vinavyochochea ugomvi hapa jukwaani..?
binapfsi naona NI..?
Kukosoa hoja ya mtu yani mtu ka comment harafu kuna anaekosoa commen ya mwenzie kwa matusi
Kuchangia mada ukisema hii...
We mwana JF kama unanjia za kuona unaweza au kujiamulia kama hamza fanya.
Kuna jirani katoa taarifa za CCTv kuna magari yana mfatilia na mpaka plate za gari.
Kilichofata yeye kawa gaidi.
Heatpress yangu ni mpya sijaitumia ila wakati nimeifungua kwenye box na ku test ile silcone pad (rubber) ya platen ya juu imeachia. Nifanyeje ili niirudishie na kukamata vizuri
Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu".
Hivi, ni namba za simu au namba ya simu?
Cc macho_mdiliko,
min -me .
Poleni sana JWTZ hasa wale mliokuwa nae pale 837kj Chita Operation Magufuli, kule MONUSCO na hivi karibuni CTC Mapinga Bagamoyo. Rest In Peace Marine Commando Kibona na pole zaidi kwa Familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.