Uchumi wa mwanafunzi chuoni

Uchumi wa mwanafunzi chuoni

MICHAEL FAIDA

New Member
Joined
Jul 10, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Uchumi wa mwanafunzi chuoni nile ile hela anayokuwanayo kwa kila sku aipatapo.Huu uchumi wake umekuwa katika sehem mbili tegemezi au kutoka kwake mwenyewe.

Kwa yule anaetegemea ni rahisi sana kujisahau pia anaekuwa nae wakwake ni ngumu sana kujisahau
 
Back
Top Bottom