Kwaheri NMB

Kwaheri NMB

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,375
Reaction score
3,197
Bank gani kila mara changamoto?

Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake wasitake.

Haiwezekani hii bank iwe na inconvenience kila mara. Huduma kwanza hovyoo. Back to NBC. Very smart. NMB na CRDB mmelewa wateja.
 
Ndo inazingua tangu mchana mkuu.

Yeah nafahamu, nimepata hiyo shida pia...

Screenshot_20260223_204354_WhatsApp.jpg

But sio kwamba ndio app kimeo, jamaa wanajitahidi sana kiasi kwamba kwa mwaka unaweza kukuta wana downtime ya mara 1 au 2 tu...

Natumia app yao, master card yao ya tanzanite (tap service) na prepaid card yao nikiwa nchi yeyote...
 
Yeah nafahamu, nimepata hiyo shida pia...

View attachment 3547703

But sio kwamba ndio app kimeo, jamaa wanajitahidi sana kiasi kwamba kwa mwaka unaweza kukuta wana downtime ya mara 1 au 2 tu...

Natumia app yao, master card yao ya tanzanite (tap service) na prepaid card yao nikiwa nchi yeyote...
Uko sahihi mkuu,inatokea mara chache.
 
Back
Top Bottom