Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
*Hivi Mlioaminishwa Kujenga ni Ushamba Mna Akili Ama MMEROGWA? * Huku mtaani na mtandaoni kumezuka wimbi la vijana wa hovyo kabisa wanaoingia kwenye mkumbo wa kijinga. Mtu anaibuka na kuanza...
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Meneja Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D’souza (kushoto), akisalimiana na Mwanzilishi Mwenza wa Taasisi ya Wanasayansi Chipukizi Tanzania (YST), Dkt. Gozibert...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Heshima kwenu wakuu. Kuna tabia ambayo nimeiona katika baadhi ya maeneo ya kazi na hata kwenye jamii, na kwa maoni yangu inahitaji kuzungumziwa wazi. Ni tabia ya baadhi ya watu waliotutangulia...
3 Reactions
10 Replies
193 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Ibumba, Kata ya Masebe, Wilaya ya Rungwe, tunaomba Serikali iingilie kati kutatua mgogoro ambao umedumu kwa takribani miaka 20 na umeathiri maendeleo ya Kitongoji cha...
0 Reactions
2 Replies
196 Views
Anonymous
Inakuwaje Idara ya Uhamiaji haichukui hatua za kutosha katika suala hili? Ninauliza kwa sababu mahali ninapofanya kazi kuna raia wengi wa China, lakini kila mara maafisa wa uhamiaji wanapokuja...
2 Reactions
19 Replies
328 Views
Katika tukio lililowafanya wengi kucheka, mwanasiasa mmoja aliamua kutumia mbinu ya zamani ya kisiasa kwa kutuma helikopta yake kutua karibu na mechi ya mpira wa miguu ya vijana akiamini kuwa...
1 Reactions
0 Replies
78 Views
Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu. Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri MASKINI 1.Matajiri Ni...
5 Reactions
33 Replies
405 Views
Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa...
9 Reactions
17 Replies
229 Views
Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na...
2 Reactions
3 Replies
111 Views
Kama mwanaume, watoto wako wakiwa bado wadogo na wewe ukiwa katika kilele cha nguvu zako ukiwa na kazi ya kudumu, nyumba huwa inaendeshwa kama ufalme uliopangwa vizuri. 😂 Wewe ndiye Amiri Jeshi...
14 Reactions
15 Replies
344 Views
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 31. Sauti yangu ni ya kawaida kama wanaume walio wengi ila nahitaji kuiupgrade niwe naongea bass Muda wote. Bass langu linakujaga na kupotea eidha nikinywa pombe...
10 Reactions
58 Replies
693 Views
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukisikiliza simulizi za watoto wanaoishi katika mazingira magumu Shinyanga unaweza kujiuliza Serikali iko wapi na inafanya nini kulinda ustawi wao kisheria, kanuni na miongozo mingi mizuri iliyopo...
4 Reactions
5 Replies
392 Views
Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi...
4 Reactions
3 Replies
292 Views
Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema) Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla Ushoga na usagaji...
14 Reactions
461 Replies
5K Views
Hizi taka taka barabarani zinakera mno. Yaan nakumbuka enzinza tex maisha yalikuwa mazuri. Hawa waharibifu hata sijui nani amewaleta. Ni kero kero barabarani, kwenye ndoa, usalama wa mahouse girl...
16 Reactions
94 Replies
907 Views
Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu...
3 Reactions
62 Replies
697 Views
Watu 40 walioandika Biblia Biblia, kitabu kikamilifu na kitakatifu, kimeandikwa na waandishi zaidi ya 40, kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. Ndani ya biblia kuna taarifa zinazohusu maisha ya watu...
1 Reactions
7 Replies
728 Views
Back
Top Bottom