Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Cake ya taifa ni kubwa sana. Mimi naifananisha na nyama ya tembo. Sasa kuna watu wanaongea utadhani mafisadi wamebeba tembo mzima wameondoka nao nyumbani. Ukweli ni kwamba hata kama kuna...
2 Reactions
11 Replies
227 Views
i kuna jambo linanichekesha sana ila ukilisema utaishia kuonekana una wivu kwa sababu we huna kitu huna hela na hela ni kombe lazima lionyeshwe hahaha kwenye harusi, sherehe yoyote na...
7 Reactions
31 Replies
421 Views
5 Reactions
6 Replies
196 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), uliobeba kaulimbiu...
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Msaaada wa tafsiri wakuu Mshana Jr Nimeota nimefungwa jela mimi na mdogo angu.
2 Reactions
7 Replies
175 Views
Habari, Kiukweli machafuko ya kipindi kile hayakuishia kumaliza watanzania wasio na hatia bali yalienda mbali yaliathiri hadi mahusiano yangu ambayo yalikuwa yamedumu takribani miaka 5. Ipoje ipo...
2 Reactions
13 Replies
232 Views
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT Kampuni yangu ina leseni halali ya...
1 Reactions
0 Replies
61 Views
Mwakilishi wa Chama cha Wakandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania (TUCASA) ameeleza changamoto kubwa inayowakabili wakandarasi wa ndani, ambapo licha ya kujaza asilimia 98 ya wanachama wote...
2 Reactions
3 Replies
221 Views
Habari wana Jf, Naomba msaada kwa mwenye kujua njia nzuri ya kufika shule ya sekondari Kalya iliyopo wilaya ya Uvinza mkoani kigoma. Mdogo angu amepangiwa kufundisha hapo shuleni sasa hajui...
1 Reactions
2 Replies
78 Views
(Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Ukanda wa comment section, watu wamekua wakiuchukulia poa mi nimeona fursa hivo stay tuned, lengo langu nikuhakikisha kati ya anae post na anaye comment wanakua sawa kutoa Sinto fahamu nk. Jamani...
3 Reactions
5 Replies
68 Views
Mara nyingi kumekua na maroli kama tiper yanayobeba sulphur kutoka bandarini yanabeba sulphur bila kujali taratibu za kiafya kwa watumiaji wengine wa bara bara unakuta sulphur inaruka kama vumbi...
3 Reactions
5 Replies
156 Views
Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka...
19 Reactions
87 Replies
2K Views
LATRA inafanya kazi kwa weledi, lakini haina ubunifu, in short watu wanajizungusha tu ofisini kwenye kiyoyozi na kutemblea magari ya serikali. KERO: 1. MASAKI-SIMU 2000 Haya ndio magari mabovu...
1 Reactions
4 Replies
167 Views
Mlitupa tarifa mnafanya maboresho siku ya tarehe moja mwezi huu kuanzia jioni tukaona sawa tu cha ajabu mpaka leo tarehe 3 huduma hazijarudi kiukweli mnatutesa mambo ya kutumia kadi tulishasahau...
3 Reactions
8 Replies
559 Views
Hii mamlaka hebu ipunguze kidogo kutumia maneno makali na vitisho kwenye barua zao hasa zile za VAT Verification. Yaani wanakuomba utume vielelezo halafu bado wanakwambia tuna uwezo wa kuvikataa...
5 Reactions
11 Replies
859 Views
NEMA MUSHI AKANUSHA TUHUMA ZA KUMCHOMA MFANYAKAZI WA NYUMBANI KWA PASIMwanamke anayetuhumiwa kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani kwa kumchoma pasi katika sehemu mbalimbali za mwili, Nema...
2 Reactions
9 Replies
270 Views
Anonymous
Kuna changamoto kubwa katika upatikanaji wa National Physical Addressing (NaPA) Reference Number katika Wilaya ya Karagwe, Kata ya Kayanga. Mchakato huo umekuwa ukisumbua kutokana na kucheleweshwa...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
NIMEMUAMBIA MZAZI WANGU;KAMA ANABARAKA ANITAMKIE BARAKA ENEO LOLOTE ALAFU MIMI NITAFANYA MAKUSUDI KUZEMBEA ENEO HILO ILI NIONE KAMA NITABARIKIWA. ANACHEKA.. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli...
0 Reactions
4 Replies
99 Views
WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
Back
Top Bottom