Ninashuhudia walimu wa vyuo vikuu wanawake wakiwa na virus na wengine wakiaga Dunia.
Walimu wa vyuo wa umri kati ya 35-50 sio salama kwa nyie G-zee.
Unalikuta ni linene ni mnene kumbe ni...
RC Mtanda,
Kuanzia Januari hadi Juni 2026, wananchi wa Wilaya ya Ilemela tumeendelea kuwasilisha malalamiko ya uwepo wa changamoto zinazojirudia katika utoaji wa huduma za umma na usimamizi wa...
MJUE KOMANDO ALI MAHFOUDH
Kanali Ali Mahfoudh ni Mmoja wa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ waliotajika sana kwa Miaka hii 50 ya Jeshi letu hili, viza Ushupavu, Ushujaa na Umahiri...
Wote tunajua ukimwi upo na unaua tena sana lakini kwanini ripoti za kitaalamu hazielezi kwenye misiba ya watu waliokufa kwa tatizo hilo kwanini iwe SIRI
Habari wana jamvi,
Bila shaka leo nimekuja kuzungumzia suala zima la malezi haswa kwa wazazi wa upande mmoja,nowdays wanajiita sigles as (singomaza).Masingo maza natamani sana mpitie huu uzi ili...
Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za...
Ma house girl wanapitia changamoto nyingi hapa nchini lakini hii mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ni komesha, ni funga kazi !!
Kuna matukio mengi ya ma house girl kunyanyaswa kama kuchomwa na pasi...
Jana Rasmi Nimeachana na Mpenzi wangu, huyu Binti Tulipendana sana Wakati tupo Chuo, Mimi nikiwa Mwaka wa Pili, yeye wa kwanza, Sote Tumesoma Diploma.
Mimi ni introvert hivyo huwa napenda sana...
-Ewe mtanzania kwa yeyote aliyefanyiwa dhuluma kwenye siasa, uchumi,ndoa, shuleni asivunjike moyo . Haki ya kweli hutoa mwenyezi Mungu mwenye rehema. Tusivunjike moyo, tusiwe na huzuni kwa kuishi...
Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama.
Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti...
Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na...
Kuna kitu cha ajabu sana kuhusu maisha watu unaoishi nao wanaweza kabisa kubadilisha namna unavyojiona hata bila wewe kugundua. Ukiwa karibu sana na watu wa umri mkubwa, baada ya muda unaanza...
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania...
Kila siku asubuhi natumia usafiri wa daladala kutoka Igawilo kwenda katikati ya mji, jijini Mbeya. Kero kubwa tunayokumbana nayo ni baadhi ya daladala kutokufuata njia zilizoandikwa kwenye vibao...
Mimi ni mkazi wa Arusha. Naomba kuwasilisha kero kuhusu taa za barabarani ambazo hazifanyi kazi katika baadhi ya maeneo ya jiji.
Taa zilizopo kuanzia Sanawari hadi Ilboru, pamoja na kipande cha...
Punguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano.
Binti...
Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka..
Waafrika tujitambue. Hizi...
Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi.
Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji.
Pia soma ~...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.