Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;-
Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli,
Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la...
Leo ni zaidi ya mwezi mmoja na nusu sisi wananchi wa kata za Mkonze na Ntyuka na vitongoji vyake vya Chidachi, GOBA na Shekinah hatupati maji ya DUWASA lakini ni ajabu zaidi kwa uhaba huu wa maji...
Habarini wana jamvi.... natumai mpo wazima kabisa..
Kuna kipindi nilikuwa katika changamoto fulani za kimaisha (ni kawaida katika maisha kupitia milima and mabonde). Sasa, nilipambana sana kuweka...
Kumwambia mtoto "muache avae atakavyo bado mdogo" kunaweza kuonekana kama jambo la kawaida, lakini kwa hakika ni kauli inayoweza kufungua mlango wa kumlea mtoto bila mipaka ya maadili.
Mtoto ni...
Wasanii wanaojishughulisha na kazi za sanaa kupitia kikundi cha Twendeni Art Group jijini Mwanza wameonyesha kusikitishwa kwao na kitendo cha mabanda yao ya kufanyia kazi kubomolewa ghafla bila...
Afanye oparesheni Zifuatazo
1. Atangaze siku 30 za kila basi llililoweka ngao waondoe mara moja, kwasababu inachangia sana kiburi cha ku-overtake na kuhatarisha usalama barabarani
2. Atangaze...
Wakuu ,
Kumeibuka wizi wa kupitia ATM.
Hasa ile benki flani hivi.
Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS.
Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
Je ulishawai kujiuliza viashiria vifuatavyo vina maana gani?
A. Kusikia uzito moyoni
Ulishawai kujiuliza kwanini kuna wakati unajiskia uzito ndani ya moyo wako?
Je hali kama hiyo ikikutokea...
1. Wanasheria kusaidia ushauri wa kisheria katika kuingia mikataba ya biashara, kuuziana ardhi na kesi za mahakamani na mambo mengine. Kila kata iwe na wanasheria kulingana na vijini vilivyopo...
Najaribu tuu kuwaza maana nchi nyingine mbona mambo ya hovyohovyo hivyo hatuoni...ok
Nchi nyingi duniani zina dini na watu wana uhuru wa kuabudu.
Hilo si tatizo, kwa sababu kuabudu ni haki ya...
Waafrika tutabaki kuwa waafrika tu raia wa morocco wanaikimbia nchi yao kisa hali ngumu ya maisha walilazimika kuogelea kilometa 2 hadi 5 kutoka pwani ya morocco kuingia ceuta eneo ambalo lipo...
Bill Gates Asema Kazi Hizi 4 Tu Ndizo AI Itapata Ugumu Kuzichukua Kutoka Kwa Binadamu.
---
Kwa miezi kadhaa, kila taarifa mpya kuhusu AI imekuwa ikivuka mstari wa kile tulichodhani hakiwezekani...
Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko...
Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu.
Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa...
Hii ni barabara ipo Dar Es Salaam
Barabara ya Dege - Mbutu, Kichangani Kata ya Somangila, Mkoa Wa Dar Es Salaam imekuwa kero kwa miaka mingi licha ya baadhi ya Viongozi wa Serikali kuja mara kwa...
Rais Samia Suluhu amesema hatua ya kwanza ya kutatua changamoto ya wakandarasi wazawa ni mabadiliko ya sheria. Akifafanua hatua hiyo, ameeleza kuwa serikali imeamua kuweka utaratibu mpya ambapo...
Hiki kizazi kimeanza kuzikana kwenye hii misiba yao aibu unataona wewe.
Hii hotuba ya kaka wa Marehemu inatafakarisha sana.
Nikwamba Gen-Z na Millennial hawanamiiko ya kutoongelea dhambi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.