Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yas wanajitahidi Sana Upande wa renovation yani Wana service Fulani nzuri nzuri hata Lipa namba yako na App pia ni nzuri Saivi naona wamekuja na huduma ya Kujua aliyekupigia wakati upo offline...
0 Reactions
6 Replies
193 Views
Ajira hakuna ila kazi zipo tele. Je unacheti, au ujuzi au una afya njema au una ulemavu wowote? Chochote ulichonacho ni fursa Leo naongea na wewe ambae huko tu nyumbani au mtaani haujui uanzie...
2 Reactions
10 Replies
213 Views
Ndoto ni lango la kiroho la mawasilinao ya Mwanadamu na Mungu au miungu. Ayub 34 Leo ningepeta tujifunz namna ya kutafsiri ndoto zinazo usiana na usafiri Mtumishi mmoja alionta ndoto yuko kwenye...
0 Reactions
4 Replies
135 Views
NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA...
3 Reactions
46 Replies
772 Views
Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi? Je, mambo ya ulimwengu wa roho au...
25 Reactions
284 Replies
3K Views
Lengo la hii Confession hii ni kuhitaji msaada namna ya kuachana nabhii tabia maana imekuwa hatari sana kwangu na sivutiwi tena. Mimi ni mume wa Mke mmoja na Tumebahatika Watoto...
5 Reactions
111 Replies
2K Views
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetangaza fursa 12 zitakazotokana na Tanzania kuwa mwenyeji mwenza wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON 2027 ambazo zitafungua zaidi milango ya maendeleo ya...
0 Reactions
7 Replies
158 Views
Miaka ya kuzoeana inaweza kukufanya umwamini mtu bila mashaka. Lakini wakati mwingine tukio moja la pesa linaweza kukuonyesha umuhimu wa kuweka kila kitu wazi, hata kwa mtu unayemuita rafiki...
12 Reactions
35 Replies
579 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limemkamata na linaendelea kumhoji mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Chacha Mgushi, miaka 30, Mfanyabiashara na mkazi wa mtaa wa Ziwa, Kata ya...
5 Reactions
26 Replies
506 Views
Makondakta wa daladala wamekuwa wakitoza nauli isivyo maelekezo kwa kigezo cha kukosa Sh 100 au Sh 200 na kusababisha kukata nauli ya juu endapo tu abiria hana chenchi kamili hiii ni kero hasa wa...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Anonymous
Stendi ya daladala ya Mbezi Mwisho wakazi wa kuanzia Picha ya Ndege Kibaha na kuendelea wanapata tabu sana ifikapo jioni muda wa kurudi kwao. Gari inayotakiwa kufika Kongoe mpaka Mlandizi...
1 Reactions
3 Replies
154 Views
Salaam, Shalom!! Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla. Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible...
78 Reactions
366 Replies
13K Views
Miaka hii hakuna vilinge vya watoto kucheza mpira mtaani, hakuna vilinge vya watoto kuruka na kujifunza sarakasi, watoto hawawez ata kutengeneza manati, magari yakuchezea, mipira ya chandim...
2 Reactions
8 Replies
109 Views
Anonymous
Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia...
2 Reactions
10 Replies
426 Views
Tokyo Japan Wengi wetu tunawachukulia Wazungu kama watu wenye ustaarabu lakini sio kweli kama tunavyodhani. Japan ina watu waliostaarabika kuliko wazungu na kwa mtu yoyote anayeijua Japan...
16 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa🤣🤣🤣 Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa...
19 Reactions
56 Replies
1K Views
Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga...
4 Reactions
8 Replies
189 Views
Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu. Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya...
20 Reactions
68 Replies
1K Views
Habari wakuu wa JamiiForums! 😊 Oups weekend imekaa poa sana kwa upande wangu nipo vizur pia kwa utulivu safiii na kaupepo ka Southern Highland Tanzania😅 Mimi ni mpenzi wa vichekesho na napost...
0 Reactions
4 Replies
128 Views
Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli...
14 Reactions
21 Replies
466 Views
Back
Top Bottom