Katika haya maaaisha nimegundua kua. Maisha ni darasa kuhitimu ni kifo....
Na pia Siogopi mitihani na kukimbia ni mwiko mimi ni mtoto wa kiume nipambane kichwa kipate moto
🙏🙏🙏🙏...
Huyu mwamba( Simon Keys ) mkamata majoka ya hatari na yenye sumu kali katika pindi la "Snakes in the the City" yeye na manzi yake( Siouxsie Gillet) wangekuwa watu weusi na hakika wangeambiwa...
Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao
Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21?
Na yeye kuna kitu chochote...
Aliyekuwa Naibu Makamu Mkuu Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Profesa Justinian Anatory amefariki dunia.
Profesa Anatory ameacha alama zake za...
Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na...
Nimekuwa nikiona watu wengi wakizilalamikia bidhaa zinazotokea China kuwa ni feki na hazina ubora unaohitajika, je haya maneno ni ya kweli au kuna bidhaa baadhi ni original?
Wajuvi wa mambo haya...
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kuondoa matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ili kuongeza matumizi ya njia za kidijitali.
TCRA imesema mpango huo...
Walokole (Wapentekosete) wanaamini kuna siku bwana Yesu atakuja kuchukua watu wake na waamini walio hai pamoja na wale waliokufa watafufuka na kupaa kwenda mawinguni mbinguni kuishi na Yesu...
Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi...
Kuna jamaa alioa binti mzuri na mkali haswaa mwenye rangi ya umanga. Wamebahatika kupata watoto 4.
Shida ni huyo mwanamke kuwa na utaratibu mbaya wa kukopa huku na huko na kushindwa kuzirejesha...
Huu ni msemo maarufu ambao unatumika na waamini mungu wengi siku ya leo lakini muanzilishi wake ni mwanahisabati na mwanafalsafa Mfaransa Blaise Pascal katika Karne ya 17, hoja hii imepwa jina la...
Nina malalamiko kuhusu huduma ya intaneti ya Halotel ambayo imekuwa ikinitatiza kwa muda.
Bando linaisha kwa kasi isiyoendana na matumizi yangu.
Wakati mwingine najiunga na kifurushi bila hata...
ZCO wa Kanda Maalum wa Dar, jana ametoa tamko la usalama kuhusu derby ya Kariakoo.
Watu kama hawa huwa hawaletwi kwenye spotlight bahati mbaya.
Huyu anaandaliwa wadhifa mkubwa kwa siku za usoni...
■KIJANA USIBABAIKE NA MAKEBO MAKUBWA
■DADA USIBABAIKE NA LIFTI YA CROWN NA HAYO MAHARRIER
■AKIKUAMBIA ASIKII UTAMU AKIWA AMEVAA CONDOM JIFANYE UMESAHAU KITU NJE ALAFU UKIMBIE BILA KUGEUKA NYUMA...
Wakuu igwee !
Afya ni msingi wa afya bora. Na hauwezi kuzungumzia afya bila kutaja mazoezi na mazoezi yenye ubora na viwango yanapatikana gym achana na kuruka kichura chura manyumbani kwetu...
Ushauri tu Wapendwa;
Sio wachaga wote wana roho za mateso kama matukio yanayoendelea hivi karibuni
Naomba niwahakikishie mabinti kuna makaka wazuri wenye roho nzuri sana na wanawito wa kuwa mume...