Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Si huduma ya Yesu ya kwenda sehemu mbalimbali, pamoja na madai ya kwamba aliwaponya watu, alifundisha kwa hekima na kufanya miujiza mikubwa, ambayo ndiyo msingi mkuu wa dini ya Kikristo. Badala...
1 Reactions
3 Replies
27 Views
Anonymous
TANESCO wametuunga na wengine tumejoin wenyewe katika magroup yao ya TANESCO huku Masasi Mkoani Mtwara, tukilalamika humo hakuna kusaidika, hapa tu wametoka kukata umeme, wanakata sana, hivi kweli...
0 Reactions
10 Replies
82 Views
Nimejipenyeza sana mda mrefu kutafiti tafiti ila nimegundua hii imani inataka kumaliza dunia. Ukiangalia tokea historia na mafundisho yao yamejaa chuki,kuangamiza na kuforce wanayotaka. Sio...
9 Reactions
82 Replies
792 Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
9 Reactions
44 Replies
357 Views
Una maoni gani kwa jinsi anavyotuwakilisha kwenye mashindano ya MISS GRAND INTERNATIONAL?
3 Reactions
27 Replies
385 Views
Wangapi wamefaidika na pesa ?? Wangapi wamedhurika na pesa?? Wangapi wamefaidika na mapenz?? Wangapi wamedhurika na mapenzi?? hawa mapacha wawili sio mchezo sijui nan kulwa hapa na dotto na Yupi 🤔
2 Reactions
37 Replies
232 Views
Hizi ni Moja ya kanuni za mwanaume makini. Nikweli wanaume tunakosea na tuna makosa mengi tu kama binadamu lakini kitendo Cha kuombaomba msamaha Kwa mwanamke hiyo fuse imeshakata Haina...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu kuendelea kuwekeza katika matumizi ya teknolojia itakayowezesha nchi kuongeza thamani ya madini adimu (critical minerals) badala ya kuyauza...
0 Reactions
1 Replies
31 Views
Mwanangu mmoja alikuwa anasoma Muhimbili MD, yupo mwaka wa pili. Sasa wakati mimi napiga zangu field pale Sinza Palestina, siku moja kwenye pita-pita zangu nikakutana naye. Mawasiliano tukapiga...
13 Reactions
54 Replies
662 Views
nimepigwa na butwaa Nimekutana na video kwenye X inayoonekana kumuonyesha mtoto mdogo sana, labda wa miaka sita, akifanyiwa ukatili wa kingono. Na sio video ya AI ni tukio halisi kabisa. Hivi...
0 Reactions
6 Replies
143 Views
Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu. Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka...
1 Reactions
1 Replies
29 Views
Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi. Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali...
0 Reactions
5 Replies
81 Views
Mara kwa mara nimekutana na komment za watu mbalimbali wakidharau neno la Mungu kwa kigezo kwamba Mungu kama yupo kwanini hakujibu maombi yao? Watu hao wengi wao waliwai kuwa watoto wa Mungu na...
1 Reactions
1 Replies
30 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamadi Masauni atakua LIVE kwenye kipindi cha JAMBO TANZANIA cha TBC kwa ajili ya kuzungumzia wenyeji wa Tanzania katika Mkutano...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa...
5 Reactions
29 Replies
677 Views
Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye...
1 Reactions
5 Replies
723 Views
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa...
22 Reactions
128 Replies
7K Views
Back
Top Bottom