Mwamba wa "Snakes in The City" angekuwa mweusi angeitwa mchawi au mganga wa kienyeji!

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,014
12,281
Huyu mwamba( Simon Keys ) mkamata majoka ya hatari na yenye sumu kali katika pindi la "Snakes in the the City" yeye na manzi yake( Siouxsie Gillet) wangekuwa watu weusi na hakika wangeambiwa wanatumia ulozi kukamata majoka hayo.

Maana mabalaa wanayofanya hawa watu wawili hata mtazamaji unakuwa na hofu licha ya kwamba kipindi kimerekodiwa.

Hii miamba inashika chatu, black mamba kama inashika mjusi. Wanawawinda majoka mpaka yanakimbia yenyewe haaaaaah.

Hawa jamaa kiboko wa nyoka yoyote unayemjua

533854-h.jpg
season-3.jpg
season-7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom