Viongozi Wajenga Viwanja, Wengine Msikiti wa Bilioni

Viongozi Wajenga Viwanja, Wengine Msikiti wa Bilioni

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,148
Reaction score
1,851
Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao

Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21?

Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao?

Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia

Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh Mwanza htuna kiwanja cha kisasa

Mara ooh airport ya Mwanza sijui haina vitu gani

Wasukuma wanapiga tu ving'ola mtandaon jamaa yupo kimyaaaa kaweka zake pod maskion anakula mziki

Ila sasa ikifika tu 2030 anaenda kuwalamba miguu na kujinasibu kwamba na yeye ni mtoto wa kanda ya ziwe hivyo wampe tonge mdomon

Watu wa hivyo wakiulizwaga ulitufanyia nini kwenye uongoz wako wanakuwaga wakali balaa
 
Mkuu wengine hata hatujui kwao ni wapi hebu tuambie kwao ni wapi?
Na je umetolea mifano ya hao wengine na kujengewa uwanja kwao yeye huyo huko kwao hakuna uwanja?
Na je unamlinganisha na hai wengine kwani na yeye tayari amefikia ngazi kama za hao wengine walizofikaga?

Na kwanini useme kwa yeye tu kwani wengine umewazungumzia pia?
 
Back
Top Bottom