Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye...
Habari Tanzania !...
Kwanini hatuna kiwanda cha kuchakata mpunga kuwa mchele yaani ile Heavy Rice Mill ambazo aidha ziwe kikanda au kimikoa. Hapa nachochea hali ya kuwa na uwezo wa soko kubwa na...
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Hii ni kero, tumejaribu...
Mna maoni gani? Kwa hili jambo?
*Anauwezo mkubwa kwa uzowefu wake kuweza kuisaidia sekta hii ya utalii,ikiwa ni pamoja na kuziba mianya yote inayotumiwa na wajanja katika kuiba na kudhiofisha...
Takribani miaka 10 iliyopita, Watanzania walishuhudia moja ya operesheni kubwa za ubomoaji wa makazi na biashara zilizokuwa kandokando ya Barabara ya Morogoro, maarufu kama Morogoro Road. Kuanzia...
DAR ES SALAAM, Tanzania – Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bank Tanzania, Manzi Rwegasira, atajumuika na viongozi wa kimataifa, mawaziri, watunga sera, wawekezaji, taasisi za fedha za maendeleo...
Kama mnavyojua hali ngumu na mm ni mteja wao hela nlizipata humo humo kwnye mizunguko ya mawakala kama mnavyojua hali ngumu 40000 si haba
Nimeenda tawi lao la kariakoo hata kuzipokea wamekataa...
Wanawake wa kijiji cha Magingo, kata ya Mkongotema wilayani Madaba mkoani Ruvuma, wapo hatarini kupata magonjwa ya zinaa kutokana na kukumbwa na vitendo vya ukatili wa kingono vinavyofanywa na...
Tena ni njia iliyojificha vizuri mno kwa sababu inakupa utulivu wa muda mfupi huku ikikuepusha na maumivu ya ukweli unaotakiwa kuukabili.
Unapojifariji kupita kiasi, unakua unatengeneza "mto...
KICHWA KINAJIELEZA we una mtazamo upi?
kama dunia ingekua na watu weusi peke yake yani waafrica tu tungevumbua kitu gani dunia ingekua wapi.? kiteknolojia..?
TUSIWE WAKALI:
Kwanza sadaka sitoi
Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe
Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea...
Habari JF, mashine ya kipimo cha Bronchoscopy haifanyi kazi MNH Mloganzila na Upanga kwa takribani zaidi ya miezi 8 sasa. Wagonjwa wanapata tabu Je swala hili limekosa ufumbuzi?
Pia soma ~...
Nyumba yako umejenga mwenyewe unaambiwa lipa kodi kwa serikali
Na hiyo kodi wajanja wanaila
Maji ni ya mito na yaliubwa yatumike nikitendo tu cha wananchi kuchangiana kuleta mabomba, lakini ewura...
Nimekuwa mwalimu kwa miaka mingi sasa, nilijochokifahamu mwalimu wa Tanzania hasa Hawa secondary na primary school hawapwendi na wanazaraulika na karibu kila mtanznia. Mimi biñafsi watu...
Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.