Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 814
- 1,647
Wakuu hili tatizo la jf kutofunguka liliwakumba jana jioni ilikuaje mpaka ukajua jf haipatikani mi nilikua nataka ku comment kwenye nyuzi flani ya baba mtakatifuu91 jinsi ku comment mara ghafla bin vu kuna tatizo nikajaribu saa mbili usiku bado kuna matengenezo nikazima cm nikaja kujaribu leo ndo imefungu
We ulijua saa ngapi kwamba kuna matengenezo? JF ilirudi saa ngapi?
NAWASILISHA
We ulijua saa ngapi kwamba kuna matengenezo? JF ilirudi saa ngapi?
NAWASILISHA