Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35. HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA. 1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone...
6 Reactions
5 Replies
359 Views
OBSESSION ni hali ya akili ambapo wazo, mtu, au kitu hudhibiti kabisa mawazo yako. Unafikiria juu yake wakati wote, na huwezi kuacha, hata unapotaka kufanya mambo mengine.
1 Reactions
1 Replies
51 Views
Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa...
2 Reactions
9 Replies
169 Views
Hali imekuwa mbaya jinsi dunia inavyozidi kugundua njia na mix AI inavyochochea ziada ya ku analysis taarifa. Kwa sasa makampuni yaliyotegemea a logarithmic kubwa yanaanza kufanya wazi kuchomoa...
2 Reactions
20 Replies
218 Views
Ukimsikiliza huyu kondakta vizuri unagundua kwa siku ana uwezo wa kulala na 50,000 Tsh mfukoni ambapo kwa mwezi ni kama 1,500,000 Tsh hiyo ni sawa na mshahara wa Daktari aliyesoma miaka 5 pale...
9 Reactions
22 Replies
411 Views
Waungwana Huu Utaratibu Wa Kuvisha/Kuvishwa/Kuvishana Pete Wakati Wa Kufungua Uchumba au Kurasimisha Ndoa Ulianzishwa na Nani? Pete Inasimama kwamaana Ya kuwa Mwili Mmoja au Kuelekea Kuwa Mwili...
7 Reactions
24 Replies
232 Views
Sio utani wakuu Mchungaji/Mtume MWAMPOSA nabii kama unaiona hii unisamehe kama umenielewa vibaya Mimi mawazo yangu yapo tofauti kidogo nafikiria kuwa una madoctor nguli hapo kanisani Kwako na...
6 Reactions
18 Replies
308 Views
Tukio hili linarushwa mubashara luningani ITV. Viongozi wa serikali na vyama vya siasa wamehudhuria kwa wingi wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Njombe Ole Sendeka!
2 Reactions
291 Replies
43K Views
Mzee huyu ameongeza mawe na kuyamwaga barabarani kwa madai kwamba barabara imepita kwenye kiwanja chake. Cha kushangaza ni kwamba mbele kuna nafasi ambayo inaonekana ndiyo mpaka wa kiwanja...
3 Reactions
26 Replies
488 Views
Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Anonymous (8fd9)
DAWASA Tabata Bima umoja road hatupati maji ya kutosha, yanatoka kidogo sana unaishia kujaza ndoo alafu yanakatika na yanatoka kwa muda mfupi mno, hii ni kero kubwa tunaishia kununua maji kila...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
PROFESA mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Josephat Maghway (65) jana aliamua kufunga nadhiri za daima za maisha ya utawa katika Kanisa Katoliki la Salvatorian la Chuo Kikuu cha Jordan...
10 Reactions
49 Replies
9K Views
Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Nikitazama maisha wanayoishi matajiri nikalinganisha na maisha wanayoishi maskini, nashindwa kuona tofauti ya kimsingi iliyopo kati yao...
17 Reactions
130 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi St. Louis wilaya ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, aitwae Ian Macha (13), amefariki dunia, ikidaiwa kuwa ni baada kupigwa shoti wakati...
4 Reactions
15 Replies
227 Views
Kufuatia ukuaji wa teknolojia na mfumo wa kidigiti huduma nyingi zimetoka ama zimehama kutoka kufanyika analogi au manual na sasa kufanyika kidigiti. Zipo faida nyingi za kura kupigwa kidigiti...
5 Reactions
26 Replies
288 Views
Waungwana nafikiri tumefichwa au mi sijui kuhusu mwenge au huu moto unauzungushwa karibu nchi nzima. Kwani unamaana gani kwa ustawi wa nchi maana inafika hatua watu wanakosa utu kwa binadamu...
4 Reactions
32 Replies
485 Views
Najua hapa jukwaani ni kila kitu,naomba kujuzwa kuhusu uimara wa hizi simu ""Samsung Oxygen ""na ubora wake!
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Wakuu: Hivi hawa mitume wa bongo wakina mwamposa wakina musa,Hivi nchi nyingine wapo.?Wana wafuasi wengi kama tanzania? nawasiliasha
0 Reactions
5 Replies
64 Views
Nimekuwa nikifuatilia hawa jamaa wawili lakini nimegundua tofauti kubwa kifursa. inaonekana julias hayuko kwenye trend kama mwenzie Genzgiant. Huyu Julias hapati more airtime kwa creator wengine...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Mara nyingi njaa huwa kitu kibaya sana,binadamu kutokutafakari afanyeje ili kuweza kupambana na mazingira yake pamoja na kujiendeleza in short kutokujitambua yeye ni nani! Mlipuko wa watu wavivu...
2 Reactions
2 Replies
48 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…