Naomba Kitengo cha Ardhi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma kiboreshwe na watumishi wake watekeleze majukumu kwa weledi na uwazi.
Kwa baadhi ya viwanja vinavyouzwa kupitia TAUSI, taarifa muhimu...
Wakazi wa Ubungo–Msewe, Dar es Salaam tuna changamoto kubwa ya maji kwa sasa kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2025.
Kwa sasa maji ya mgao yanaweza toka baada ya wiki 3 au mwezi nayo huwa yanatoka mara...
Kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo zikimuonesha kijana mmoja akiwa amenasa kwenye kibanda cha biashara katika eneo la Chadulu jijini Dodoma, Jambo TV imefika eneo la tukio na kuzungumza na baadhi...
Kuanzia miaka ya 2000 baada ya mgodi wa Bulyanhulu kuzinduliwa vijana wengi hadi leo hii humiminika kwa wingi kwenye kijiji hiki ili kusaka ajira mgodini.
Ukweli ni kuwa ajira za hapa ni ngumu...
Wakuu habari za saizi
Nilitamani nianzishe huu Uzi tangu juzi ila mambo mengi, Leo nimepata wasaa kidogo nimeona nishee nanyi kidogo pengine Kuna mtu anaweza kufanya maamuzi kama yangu kujua...
Abiria wa Mwendokasi ni wengi, lakini upatikanaji wa kadi za usafiri ni changamoto. Hali hii inalazimu baadhi ya abiria kusubiri mtu mwenye kadi na kumuomba awasaidie kuweka fedha ili waweze...
Natanguliza samahani kama kuna watakao kwazika kwa hili swali langu ila ningeomba kupata ufananuzi kwa wanao jua.
Hivi lile tunda la katika lililokatazwa kwenye bustani ya Eden lilikuwa ni lipi...
kuna kitu bado sijaelewa, kwa nini big natural resources capitalistic companies zina shida barani afrika tu au niwe specific sub-saharan afrika kwetu tu lkn kwingine kote ni success pande zote...
Na Mwandishi Wetu.
JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano...
Salamu sio lazima twende moja kwa moja kwenye kisa Cha kweli chenye hekima kubwa👇
Zamani kidogo, kulikuwa na mzee mmoja tajiri na mchapa kazi aliyekuwa anamiliki mali na biashara nyingi. Alikuwa...
Wakazi wa Kijiji cha Bwisya, Kata ya Ukara, Wilaya ya Ukerewe, tuna changamoto mbili kubwa, kuna Kampuni inaitwa JUMEME inayotoa huduma ya umeme wa jua (solar system). Wakati inaanza huduma...
Tangu jana usiku iliibuka tafrani juu ya comedian said said, kuwa alishambuliwa na mtu na Yuko hospitalini inasemekana damu zilivuja sana, watu walidhani ni kiki ila picha zimevuja na gari yake...
Moja ya barua za Matusi/kutishia alizotumiwa Dr Salim alipokuwa UN as head of Tanzania Delegation baada ya UN kupiga Kura kuikubali China na kuifukuza Taiwan , sasa wale wote waliokuwa pro Taiwain...
Nchini Tanzania, mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa na maambukizi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) mara nyingi hujumuisha maeneo yenye idadi kubwa ya watu na shughuli nyingi za...
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026
Ndugu...
Salama ndugu zetu? Ni muda mrefu ndugu zenu watanganyika hatujawasikia, mmekuwa kimya sana. mnaendeleaje kiafya na kiuchumi? Ni matumaini yetu mpo vyema. Mkipata hizi salamu tafadhali mtujibu.
Nikiwa nasafiri nilipita katika standi hiyo nikiwa natafuta gari la kuunganisha kwenda mikoa ya kanda ya ziwa hivyo hivyo ikabidi niende chooni
Japo huduma ni ya kulipia ila mazingira yake Sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.