Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi nahitaji simu aina hiyo sasa kila nikipita mitandaoni nakutana na matangazo Cha ajabu Bei ni Chee kweli kweli Hadi zinanitisha mara Tsh 400k mara 350k nikiwasiliana nao wananieleza lipia...
4 Reactions
46 Replies
631 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa Mtume Boniface Mwamposa, maarufu kama Bulldozer. Bikira Mariamu alipata mimba kwa...
17 Reactions
129 Replies
2K Views
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
68 Reactions
228 Replies
18K Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
64 Reactions
209 Replies
14K Views
  • Featured
Chama cha upinzani cha Namibia, Affirmative Repositioning (AR) kimepinga vikali uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus Tileinge Damaseb, kuwa mjumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi nchini...
22 Reactions
47 Replies
1K Views
Toka 2016 kumekuwa na ‘dead internet theory’ = nadharia ya kifo cha internet. Kwa kifupi, ndani ya internet za maongezi na majadiliano, kumeingiwa na akaunti za maBOT – yaani akaunti za maroboti...
0 Reactions
3 Replies
89 Views
Yaani kitendo cha makamu Rais kumtembelea mstaafu ambaye kila manung'uniko mabaya yako kwake kimezidi kushangaza pale wawili hao kuonekana ,pamoja na maneno kuwa makamu kaandika barua ya...
0 Reactions
6 Replies
170 Views
Ili kuzuia watu kukuweka kwenye magroup ya WhatsApp bila ridhaa yako, unaweza kubadilisha mipangilio ya faragha (Privacy Settings) kwenye simu yako. Njia hii inamlazimisha mtu anayetaka...
1 Reactions
4 Replies
90 Views
Moja ya vitu vinavyoleta mkanganyiko mkubwa kwenye mijadala ya watu ni matumizi ya maneno mawili “Best” na “Favorite.” Unapaswa kuelewa kwamba kitu kinaweza kuwa Best kwa maana kwamba unakikubali...
3 Reactions
3 Replies
88 Views
Kwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
31 Reactions
81 Replies
2K Views
KATIKA KALENDA YA KIROHO MUDA UMETIMIA ,Unabii wote umeshatimia,ishara zote zimeshatimia...muda sasa umefika.sekunde yotote sasa watu wa Mungu walioko duniani watanyakuliwa kwenda mbinguni kuishi...
25 Reactions
285 Replies
7K Views
Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
11 Reactions
61 Replies
904 Views
Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa. Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu...
2 Reactions
14 Replies
221 Views
Waungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo? Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme, Nini itakua sababu? ===== TANESCO wanasema hivi: Shirika la...
18 Reactions
303 Replies
7K Views
Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile. Cha ajabu sikuhizi vimeibuka...
24 Reactions
163 Replies
49K Views
Hivi karibuni kupitia jukwaa hili la JamiiForums, Wizara ya Afya iliombwa kutoa ufafanuzi wa wazi kutoka kwa viongozi wa Wizara ya Afya pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
Tajiri wa Africa Dangote amesema kiwanda kitaanza kujengwa mwezi wa kumi mwaka huu. Je kwetu ujenzi utaanza lini? wakianza hata kusogeza kipande cha jiwe mniambie.
3 Reactions
5 Replies
123 Views
Back
Top Bottom