Habari JamiiForums,
Kuna changamoto kubwa ya programu za mikopo mtandaoni ambazo zinatoza riba na gharama kubwa kwa wakopaji. Kwa mfano, mtu anaweza kukopa Sh100,000 na kudaiwa kurejesha...
1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari...
Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye...
habari ndugu yangu natumaini uko njema wa afya, na kama si hivyo polee. kwa jina naitwa ......
Fulani hila kwa sababu ya hili nililoamua kushikilisha adhira sinto tananabaisha kinagaubanga wasifu...
Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!
Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi...
Habari zenu ndugu zangu jamii forum..mimi ni mmoja ya wafanyabiashara na walipa kodi wazuri sana kutoka Halmashauri ya Mji wa Nzega. Lengo kubwa na kuleta hoja hii hapa jukwaani ni kuwasilisha...
Nianze kusema kwamba kuna wanawake wanajua kupenda na huu sio uongo.
Binti nilipomsogelea na kuzungumza nae akacheka sana kisha ndani ya maongezi yetu ya dakika zisizozidi 10 akanifanyia jambo...
Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?
Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?
Unaona nini ukifumba macho yako?
Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?
Ukifumba macho...
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana...
HISTORIA YA VITA YA MACHAME NA KIBOSHO 🔥
Zamani sana katika milima ya Kilimanjaro, kulikuwa na vita kali kati ya Wamangi—hasa kati ya Machame na Kibosho. Vita hizi zilikuwa na ushindani mkubwa wa...
Kahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa...
1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga?
2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini)...
Asubuhi ya leo nimetoka nyumbani Mapinga kuelekea kazini.
Kama kawaida nikakunjia Boko Magengeni kuelekea njia ya Mbweni JKT ili nikatokee Ununio hadi Kunduchi kuelekea Mwenge kwa njia ya...
Kuna hii tabia inakuja kasi sana wafanyakazi wa BENKI hamtaki kuchukua (elfu moja moja & Mbili) yani noti za buku buku na buku mbili. Mnataka noti za 5,000 na 10,000 tu.
Hamzitaki hela, tuambiane...
Haya ni baadhi tu ya mambo yaliyowahi kutokea huko Mbeya.
Eneo la Forest kulikuwa na msitu mkubwa ambako mauji yalikuwa yakifanyika kila uchao.
Eneo la soweto kulikuwa na wachinjaji, kila mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.