Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,149
- 4,068
Salama ndugu zetu? Ni muda mrefu ndugu zenu watanganyika hatujawasikia, mmekuwa kimya sana. mnaendeleaje kiafya na kiuchumi? Ni matumaini yetu mpo vyema. Mkipata hizi salamu tafadhali mtujibu.