Nina furaha-ghafla nimehisi kupona

Nina furaha-ghafla nimehisi kupona

R_Breazy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
281
Reaction score
567
Wakuu habari za saizi

Nilitamani nianzishe huu Uzi tangu juzi ila mambo mengi, Leo nimepata wasaa kidogo nimeona nishee nanyi kidogo pengine Kuna mtu anaweza kufanya maamuzi kama yangu kujua mbivu na mbichi.

To be honest nilipoenda Kwa mzazi mwenzangu nilichepuka mara moja na kibinti kidogo nakumbuka aliniambia kazaliwa 2006 kama siyo na 7.

Haka kabinti nilikapata baada ya ugomvi na mama watoto, hivyo muda mwingi niliutumia kwenda kijiweni hadi nilipokutana nacho. Niseme tu kalijilengesha sababu kila kitu kilikuwa rahisi kuanzia kuchukua mawasiliano, na kuomba tunda. Nakumbuka nilichukua namba Alhamisi then jmosi nikaomba show kakadai Kako period, niliuliza kanamaliza lini kakasema jpili nikakapanga jtatu hakakutia ugumu.
Jtatu ilifika kila kitu kilienda vizuri. Baada ya tukio hiyo siku sikutaka kumgusa kabsa mtu wangu plus tuna ugomvi hata sikuongea nae zaidi ya chakula nikalala J'nne ya tarehe 7/4 nkaondoka.
Nilivyofika niliumwa kidg nliamini ni Hali ya hewa badae nilikaa sawa, kuanzia mwezi wa 6 katikati hadi wa saba nimeumwa sana MAWAZO yalikuwa mengi sana sabu nilipiga peku mwisho juzi nikaamua kuchukua uamuzi mgumu wa kupima. Nashukuru Mungu Kwa kunipa nafasi nyingine ya kuongeza umakini.
Mwisho, nimechagua kupima sababu Sina siku nyingi nitaenda Kwa mama watoto nilihofia nikimpelekea shida, hiyo changamoto itaathiri wanangu Kwa namna moja au nyingine hivyo ningekutwa na shida ningechagua kumuacha Kwa ajili ya wanangu, na hata kama akipata apate Kwa njia zake si Kwa makusudi yangu. Wakuu tangu nipime hiyo juzi mwili umerudisha Nuru na siumwi tena hofu ilikuwa ikinitafuna sana.
 
Attachments

  • VID20260806165807.mp4
    6.4 MB
1786132306180.jpg
 
Mwisho, nimechagua kupima sababu Sina siku nyingi nitaenda Kwa mama watoto nilihofia nikimpelekea shida, hiyo changamoto itaathiri wanangu Kwa namna moja au nyingine hivyo ningekutwa na shida ningechagua kumuacha Kwa ajili ya wanangu, na hata kama akipata apate Kwa njia zake si Kwa makusudi yangu. Wakuu tangu nipime hiyo juzi mwili umerudisha Nuru na siumwi tena hofu ilikuwa ikinitafuna
So ulivyomuona mdogo sana ukajua hana ukimwi 😱 kama ulivyomuamini ww na wengne walimuamin hvohvo wakapga peku
 
Yaani Kucheat mara moja unapata mawazo makali namna hiyo. Yanakuletea vihoma vya hapa na pale.
Hadi ukakimbilia kupima.

Ww sio Legend kabisa.
Mtu anakitembeza miaka na miaka . Na hapimi na anajiamini yuko safi 😊😊😊😊.

Unakuwa Makini na HIV . Alaf unapata ajali unafariki.
 
😁😁Hii mambo si ya kujisifia ila MUNGU aliyoniepusha na njia nilizopita naona sistahili ila ni Kwa neema tu, datz y nikifanya mistake kidg saivi inaniwazisha kila jambo na muda wake, Kwangu mimi saivi ni muda wa kujenga maisha si kukimbizana na sketi hiyo ndo point yangu. So kama nilitoka salama muda nakitembeza kwanini saivi nisijilinde imagine saivi sijakutana kimwili miezi minne wakati siku za nyuma nilikuwa siwezi kukaa siku mbili, si rahisi ila nimechagua maisha mengine kabisa nakula Kwa tahadhari sana sababu hii mambo hata ufanyaje huwezi kuridhika na kadri unavyofanya ndivyo unavyozidi kuhitaji, NOMAA
 
Wakuu habari za saizi

Nilitamani nianzishe huu Uzi tangu juzi ila mambo mengi, Leo nimepata wasaa kidogo nimeona nishee nanyi kidogo pengine Kuna mtu anaweza kufanya maamuzi kama yangu kujua mbivu na mbichi.

To be honest nilipoenda Kwa mzazi mwenzangu nilichepuka mara moja na kibinti kidogo nakumbuka aliniambia kazaliwa 2006 kama siyo na 7.

Haka kabinti nilikapata baada ya ugomvi na mama watoto, hivyo muda mwingi niliutumia kwenda kijiweni hadi nilipokutana nacho. Niseme tu kalijilengesha sababu kila kitu kilikuwa rahisi kuanzia kuchukua mawasiliano, na kuomba tunda. Nakumbuka nilichukua namba Alhamisi then jmosi nikaomba show kakadai Kako period, niliuliza kanamaliza lini kakasema jpili nikakapanga jtatu hakakutia ugumu.
Jtatu ilifika kila kitu kilienda vizuri. Baada ya tukio hiyo siku sikutaka kumgusa kabsa mtu wangu plus tuna ugomvi hata sikuongea nae zaidi ya chakula nikalala J'nne ya tarehe 7/4 nkaondoka.
Nilivyofika niliumwa kidg nliamini ni Hali ya hewa badae nilikaa sawa, kuanzia mwezi wa 6 katikati hadi wa saba nimeumwa sana MAWAZO yalikuwa mengi sana sabu nilipiga peku mwisho juzi nikaamua kuchukua uamuzi mgumu wa kupima. Nashukuru Mungu Kwa kunipa nafasi nyingine ya kuongeza umakini.
Mwisho, nimechagua kupima sababu Sina siku nyingi nitaenda Kwa mama watoto nilihofia nikimpelekea shida, hiyo changamoto itaathiri wanangu Kwa namna moja au nyingine hivyo ningekutwa na shida ningechagua kumuacha Kwa ajili ya wanangu, na hata kama akipata apate Kwa njia zake si Kwa makusudi yangu. Wakuu tangu nipime hiyo juzi mwili umerudisha Nuru na siumwi tena hofu ilikuwa ikinitafuna sana.
Mkuu usirudie tena hawa Gen Z wanagawa Sana kwa bodaboda na wazee, ni hatari sana kama unajali future yako
 
Yaani Kucheat mara moja unapata mawazo makali namna hiyo. Yanakuletea vihoma vya hapa na pale.
Hadi ukakimbilia kupima.

Ww sio Legend kabisa.
Mtu anakitembeza miaka na miaka . Na hapimi na anajiamini yuko safi 😊😊😊😊.

Unakuwa Makini na HIV . Alaf unapata ajali unafariki.
Hahaha UKIMWI ni mzuri kama unachati hivi kama unavyocomment kirahisi, ila kitu kikisoma Positive utajutaa
 
Mkuu usirudie tena hawa Gen Z wanagawa Sana kwa bodaboda na wazee, ni hatari sana kama unajali future yako
Ni kweli hili nilikumbuka Tyr nmeshacheza rafu-nilijiaminisha kuwa sabu ni kizuri sidhani kama kinaliwa hovyo hovyo, women wako very smart sana katka kuchagua watu wa kulala nao, ikiwa tu hana njaa ya pesa
 
Back
Top Bottom