Tajiri wa Africa Dangote amesema kiwanda kitaanza kujengwa mwezi wa kumi mwaka huu. Je kwetu ujenzi utaanza lini? wakianza hata kusogeza kipande cha jiwe mniambie.
Eneo linauzwa Square meters 371
Location Dar es salaam - makumbusho
Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini
Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na wananchi wa Mtaa wa Tabata, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa...
Kozi itolewe walau miezi mitatu kabla ya ndoa bila kufaulu hakuna kufunga ndoa, si lazima watu waende chuoni teknolojia imerahisisha.
kama serikali haiwezi basi watu binafsi wapewe kibali...
Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani.
Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba...
Kamisheni za Vodacom ni ndogo sana kulinganisha na kazi inayofanyika kwa mwezi ukilinganisha na mitandao mingine Yas na Airtel maana Halotel wao pia hawalipi kivile ila wao mtandao wao ni kwakuwa...
Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote.
Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila...
Bora ukaathiri yatima
Hela zako bora unywe pombe
Ukishindwa kabsa kampe mwamposa
Ukzidiwa sana nenda riverside
Kama vipi bora humchangie kanji ujenzi wake kule Mumbai
Lakn kulea mtoto wa...
Kumekucha Siku Nyingine Mwezi Mwingine Tarehe 01.08.019 Ila Sasa Kukiwa Kimya Hasa Huduma Ya Umeme Baadhi Ya Maeneo Ya Jiji Niliyopita Asubuhi Hii
Buza, Davis Corner, Kariakoo, Upanga
Nimeona...
Trump akimaliza hivi licha ya Wapinzani wake kumwandama anaweza kuwa Rais bora wa hivi karibuni akifuatiwa na Bill Clinton,
Ndani ya uongozi wa Trump
1.Wamarekani wamepata ajira zilizokuwa...
Habari wanauzi
Kuna majina ya maeneo hapa bongo yenye maana za kushoto sana.
Imagine
Kariakoo pale kuna kasehemu kanaitwa GEREZANI
Kahama kuna sehemu inaitwa KAGONGWA
Buza kwa MPALANGE
Ziwa...
25% ya wazazi wa apa bongo ndio walipanga,wakaratibu na kupata watoto bila kujali wamemudu au la! Malezi ya hao watoto na sisi 75% mipango yetu ni mapenz,ngono za starehe,burudan au za kibiashara...
Habari za muda huu.
Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha...
Hujambo! na Karibu, video hii itakufundisha Jinsi ya kutumia huduma ya usajili wa Jina la Biashara kwenye mfumo wa BOS.
Baada ya kuingia kwenye mfumo, utabofya sehemu iliyoandikwa Business Names...
Wakuu, Natumai Mko Vyema na Mnaendelea Vizuri na Mapambano ya kila siku. Kwa wale ambao siku yao Haiko sawa labda kwa kuuguwa, kuuguliwa na kila Changamoto ambazo tunazipitia kama binadamu basi...
Habari,
Naomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa maombi ya ajira wa Utumishi, ambao unaonekana kutokuwa rafiki kwa baadhi ya waombaji.
Mfumo huu unapomtambua mwombaji kuwa ana shahada katika kozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.