Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,007
- 6,993
Tangu jana usiku iliibuka tafrani juu ya comedian said said, kuwa alishambuliwa na mtu na Yuko hospitalini inasemekana damu zilivuja sana, watu walidhani ni kiki ila picha zimevuja na gari yake imeshambuliwa vioo, mpaka sasa hajasema chanzo ni nini