Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchini Tanzania, mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa na maambukizi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) mara nyingi hujumuisha maeneo yenye idadi kubwa ya watu na shughuli nyingi za...
2 Reactions
5 Replies
210 Views
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026 Ndugu...
2 Reactions
20 Replies
585 Views
Salama ndugu zetu? Ni muda mrefu ndugu zenu watanganyika hatujawasikia, mmekuwa kimya sana. mnaendeleaje kiafya na kiuchumi? Ni matumaini yetu mpo vyema. Mkipata hizi salamu tafadhali mtujibu.
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Anonymous
Nikiwa nasafiri nilipita katika standi hiyo nikiwa natafuta gari la kuunganisha kwenda mikoa ya kanda ya ziwa hivyo hivyo ikabidi niende chooni Japo huduma ni ya kulipia ila mazingira yake Sio...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Kwanini mfano Shirika la nyumba lisiweke nyumba kwa ajili ya wanafunzi mfano kwa Dar es Salaam? Mwanafunzi anapanga nyumba sawa na mfanyakazi au mfanyabiashara Kariakooo? Yaan Mwanafunzi anapanga...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
  • Redirect
Nchi ya kusadikika ,kwani mishahara imeisha au . Yaan nimemtembeza weee na kidole kaniqata na pesa hajanipa,,😂😂😂😂😂. ,wenye visemeo taarifa kwa umma hakuna duuuuuuu. ngoja nirudi kulala
1 Reactions
– Replies
– Views
"Tunapogundua magari yanasababisha usumbufu, tumeanza kuyafungia ving'amuzi. Kwa kuwa tunaanza kwa awamu, tutaanza na daladala zote zitakazobainika kukiuka masharti ya leseni zao." Hayo yamesemwa...
3 Reactions
7 Replies
188 Views
Kichwa kinajieleza Je ni sahihi kupeleka biashara eneo lenye msiba.? Kama juice matunda n.k Ni sahihi..? NAWASILISHA:
7 Reactions
30 Replies
219 Views
Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia “usikate tamaa,”...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Kumrekebisha mtoto ni muhimu, lakini kufanya hivyo kwa wakati usiofaa kunaweza kumuumiza zaidi kuliko kumsaidia. Hizi ni nyakati tano ambazo si busara kumkaripia au kumwadhibu mtoto 1. Pindi...
3 Reactions
6 Replies
280 Views
KUOMBA KWA MAMLAKA. Utangulizi Maombi ni kitu cha ajabu sana. Kwa maana kupitia maombi yale yasiyowezekana yanawezekana. Lakini nataka nikutazamishe siri fulani hivi ya maombi, kwamba mwombaji...
1 Reactions
2 Replies
93 Views
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966 (1966-1972) 1 USD = 5 TZS, (1973-1975) 1 USD =7 TZS, 1976,,1 USD=12 TZS 1977, 1 USD =12 TZS...
11 Reactions
21 Replies
8K Views
Kuna mambo ambayo yalikuwa na maana miaka 20 au 30 iliyopita, lakini leo yamepitwa na wakati. Mojawapo ni tabia ya baadhi ya watu kujiona wako juu kwa sababu tu wamezaliwa Dar es Salaam. Mwanzoni...
38 Reactions
296 Replies
3K Views
MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha...
8 Reactions
16 Replies
337 Views
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika...
6 Reactions
100 Replies
1K Views
Mamia kwa maelfu ya wafanyabiashara Waafrika, Waarabu na Waasia hufunga safari mara kwa mara na kwenda kununua bidhaa zao kwenye soko kubwa zaidi la bidhaa ndogo ndogo duniani lililoko huko Yiwu...
2 Reactions
3 Replies
163 Views
Ali Khan, 17, aliweka sawa mkoba wake wa nyuma na kupanda treni ya mchana ya SGR katika Kituo cha Voi. Siku tatu kabla ya hapo, kijana huyo wa Kihindi na wenzake 74 waliokuwa wamepiga kambi...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
  • Redirect
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea kusikilizwa leo tarehe 10 August 2026 katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar...
1 Reactions
– Replies
– Views
Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe...
19 Reactions
60 Replies
594 Views
Jina tunalopewa halibadiliki uende Marekani, Uingereza na popote duniani. Mnaomini 'transliteration' eti Joseph aeza itwa Yusufu, mbona bongo hatuna hilo ng'o? hata ingekuwa ivo, jina la Yesu...
4 Reactions
41 Replies
499 Views
Back
Top Bottom