Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawasalimia ndugu na jamaa zangu, Ama baada ya salamu, naomba kuelekekeza mawazo yetu kwenye mada hii. Wizara ya Maliasili na Utalii, Pamoja na majukumu yake mapana, ina Taasisi na mashirika ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye...
1 Reactions
2 Replies
130 Views
Anonymous
Wakazi wa Cheka, Manispaa ya Kigamboni, tunatumia Daraja la Amani Gomvu ambalo limekuwa na changamoto kubwa kutokana na ubovu wake. Ukarabati wa daraja na barabara hiyo ulianza mwaka jana, kipindi...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
tabia ndogo, mabadiliko makubwa Beti ya Kwanza Tabia ndogo huanza kimya, lakini hujenga maisha kwa nguvu, Nguvu ya kurudia hujenga misuli, na misuli ya akili hujenga uthabiti, Uthabiti hauzaliwi...
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Sio kwamba natafuta sifa au nataka kubishana na mtu kuhusu imani. Lakini nikitazama yanayoendelea duniani vita, mauaji, watoto wanaoteseka, njaa, magonjwa na watu wasio na hatia kupoteza maisha...
18 Reactions
406 Replies
3K Views
Katika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba. Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita...
11 Reactions
38 Replies
423 Views
Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa...
9 Reactions
16 Replies
373 Views
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndugu Wazo Mwang’onda, ametembelea na kukagua utekelezaji wa Tanki la Kuhifadhia Maji la Buhongwa, jijini Mwanza, na kueleza kuridhishwa na hatua...
0 Reactions
12 Replies
189 Views
Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka...
9 Reactions
30 Replies
696 Views
Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa...
4 Reactions
14 Replies
143 Views
Leo nimekaa nikawaza hivi najiamulia mambo au naamuliwa sababu toka utoto naamuliwa mambo hata wakati nasoma kwenda kukojoa, kula, kucheza tulisubili kengele nilivyomaliza shule nimekuja kujua...
3 Reactions
10 Replies
91 Views
Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imemhukumu aliyekuwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Gongo la Mboto, Dominic Mushi (34) kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe kwa...
18 Reactions
188 Replies
2K Views
Unapomchafua jina lake kwa lengo la afukuzwe kazi si yeye tu unamdhuru bali Unadhuru watoto, wazazi, na familia nzima inayotegemea jasho lake. Kizazi chake chote kitakuchukia Malenga wa Kiha...
13 Reactions
42 Replies
573 Views
Hivi ni lazima wafanyabiashara wote wakawa wanakimbilia china kufata mizigo yao? Kwanini wengi hawakimbilii usa au europe kufata bidhaa na kuzileta nchini ilihali jeans saivi ya china dukani...
4 Reactions
3 Replies
115 Views
Je, unawajua watoto ambao "Simba" anaweza kuwaoa? Wataje na mama zao! Taja watoto wa ZINAA WA SIMBA.
1 Reactions
21 Replies
171 Views
Masasi ni mji unaokua kwa kiasi kila kukicha. TANROAD tunaomba mtuwekee mzunguko (round about) hapa Mataa MjiniKati katika mji wetu wa MASASi ili kufanya mji wetu upendeze zaidi maana tunaamini...
1 Reactions
3 Replies
163 Views
Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye...
0 Reactions
7 Replies
153 Views
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu zaidi ya 10 wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha gari aina ya Noah iliyokuwa inatoka Nzega kuelekea Tinde na Lori aina ya Scania lililokuwa...
2 Reactions
136 Replies
34K Views
Wakala wa Vipimo (WMA) umeeleza kuwa unaendelea kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwa wazalishaji, wafungashaji na wauzaji wa gesi nchini ili kuhakikisha vipimo sahihi vinazingatiwa. Akizungumzia...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
11 Reactions
55 Replies
584 Views
Back
Top Bottom