Ila Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti.
Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini.
Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi.
Kwa wale...
Barabara ya Lemara imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu, licha ya kuwa kila kipindi cha uchaguzi baadhi ya wagombea wa udiwani wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya kampeni na kuahidi kuiboresha...
Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam...
Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni
Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni.
Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na...
JE apa bongo chini ya miaka 30 unaweza aminiwa kwenye kitengo gani cha taasisi nyeti wewe kua top (je mashirika ya umma,makampuni,taasisi,ukatibu kwenye wizara,ubunge,udiwani,uku wa police,jeshi...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa elimu baada ya kuzindua Mradi wa Kijiji Changu (My Village) Agosti 11, 2026.
NJOMBE, Agosti 11, 2026...
Kwa mtazamo wangu 90% tutapiga YES wakoloni wazungu warudi na naami watu wengi waliozaliwa kuanzia 1980-2010 tutakua upande wawazungu na watakuja kutufungulia nchi na hatakama wataiba na kunyonya...
Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko...
Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.
Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila...
Kuna kitu cha ziada kwenye mmea jamii ya bhangi, kitu hicho chenye mahusiano na mambo ya kiroho ama jicho la tatu..... Moshi wake ni mwepesi sana na unapovuta jani tofauti na sigara nyingine...
Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini, maendeleo ya sayansi na teknolojia ya tiba yamefanya maisha ya watu wanaoishi na HIV kuwa bora zaidi na kupunguza kwa kiasi...
Zanzibar kuna changamoto inayozidi kuwa kero kwa wamiliki wa vyombo vya moto, hususan kuhusu namna baadhi ya watu wanaotekeleza majukumu ya usimamizi na ulinzi wanavyowakamata na kuwaomba fedha...
Baada ya mdau kuweka uzi hapa jukwaani, akihoji ukimya wa TFS na Jeshi la Polisi juu ya mauaji yaliyofanywa na askari hao kwenye pori la uhifadhi (Kwa maelezo ya tukio hilo ingia hapa: DOKEZO -...
NURU YA ROHONI.
Nuru ya rohoni ni Bwana Yesu.
Nakuomba sana niangazishe;
Ukanitazame kwa huruma tu,
/: Ukanitulize
Mimi maskini.:/
Futa dhambi zangu,
Kwa damu yako...
Beach plot for sale
Size sqm 1875 (hati ya wizara)
Location:Gezaulole kigamboni bei Bei:milioni 400
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#vairal_video_tiktok #forsale #creatorsearchinsights...
Physicist mkubwa Eugene Wigner aliandika makala maarufu sana aliita
"The Unreasonable Effectiveness of Mathematics in the Natural Sciences."
Alisema waziwazi na maneno yake ni haya kwa...
Mwaka 1969, Zager and Evans walitoa wimbo uitwao In the Year 2525 ambao uligeuka kuwa hit kubwa duniani.
Melody yake ya kutisha pamoja na lyrics zake za kinabii kuhusu mustakabali wa mwanadamu...
Binadamu ameendelea kufanya ugunduzi mkubwa kuhusu ulimwengu anaouishi. Kupitia sayansi, teknolojia, falsafa na dini, tumeweza kuelewa kwa sehemu baadhi ya siri za asili, maisha, na mazingira...
Huyu mtoto mdogo ni miongoni mwa watu waliohudhuria leo kesi ya Ugaidi kwenye Mahakama Kuu divisheni ya Uhujumu uchumi .
Ni mtoto wa mmoja wa Washitakiwa wa Ugaidi Mohamed Ling'wenya , ugaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.