Miaka kadhaa wakati nikiwa kijana kuna mambo ambayo kwa kweli yalinitatiza sana , rafiki yangu mmoja ambaye ni rafikk zangu sana alikuwa na kitabu nilikipenda sana kile kitabu
Nikamwomba kitabu...
Kuna changamoto kwenye kituo cha mwendokasi ambapo wakati wa ku scan inatoa notification haijafanikiwa ukirudia ku scan ikikubali wanakata fedha mara mbili. Leo nilikuwa naelekea kivukoni sasa...
Kero yangu ni TANESCO Kigamboni wanatutesa sana, hakuna siku umeme haukatiki na sio mara moja umeme unakatika, kuna muda mpaka mara 10 kwa siku.
Vifaa vyetu vinaungua na hakuna anayelipa...
Kero kubwa ya kukatika umeme na kuwa gizani ikifika Saa moja usiku, Mtaa wa NALA SHULE YA MSINGI hapa Dodoma, kila tukiuliza majibu ya wahusika ni kwamba umeme mdogo.
Je, huduma tunayolipia sisi...
Wakuu,
Kutokana na hali halisi katika jamii zetu ya ongezeko la nyumba kadhaa za ibada, nimeona sio vibaya kuleta kwenu hili jambo kwa mjadala.
Natambua kuwa Serikali haina dini, ingawa kwa...
Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata...
Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule...
Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking.
Hata Bodaboda akishusha tu abiria...
Tabata ni sehemu maarufu sana kwa wakazi wa Dar es Salaamu, chaajabu eneo hilo haliendani kabisa na jina lake maana kuna kero kubwa ya barabara.
Mfano mimi naishi Tabata kisiwani, barabara ni...
Hakuna cha bahati wala kusema zari.Ukweli ambao mfahamu huyu dogo ni undercover wa CIA.
kitu ambacho bado mjaweza kushtuka kwa nini anaweza kuwa stream online kila nchi anapokwenda.
Mshawahi...
WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA
Dodoma Agosti 12, 2026
Kufuatia malalamiko ya wananchi...
Past sentiments by President William Ruto about wishing his daughters would marry Kenyans have resurfaced after recent family milestones.
Yesterday, Charlene Ruto got engaged to a Tanzanian...
Yaani unawaita CHADEMA ni "watukutu wenye pepo mchafu" halafu unataka waitikie wito wa mazungumzo!
Leo Agosti 12, 2026, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi, ametoa kauli...
Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026...
TANESCO wanakata umeme nyanda za juu sababu wanatandaza nyanya Dodoma-Chalinze. Hii kijiografia na kiusambazaji wa umeme imekaaje maana hainiingii akilini?
Wakazi wa eneo la Jaws Corner, Mji Mkongwe Zanzibar, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ziara yake katika eneo hilo, wakisema imewapa faraja...
Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo
Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected...
Ukienda benki upande wa ATM mashine kati ya wateja 10 wanaotaka kutoa pesa, labda mteja moja ndio anaweza kutumia huduma ya contactless card reader. Kwani bado watu hawajui kuwa pia unaweza kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.